Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Wakati 2015 mnapiga goti kuomba aina ya kiongozi mnayemtaka, mlisema mnataka dikteta.

Tafadhali sana, siku nyingine mkiomba jitahidini kujua nini mnataka, mlidhani dikteta ni mtu wa aina gani eti?
 
Jamani, kulikoni najaribu kutumia social media kama Twiter, YouTube. na WhatsApp zinagoma! Ni mimi tu au nanyie, natumia tigo
Kwakua play store inasumbua enda chrome ka search 'UFO VPN apk' afu ui 'download',baada ya hapo 'connect' afu anza kui 'enjoy' na network connection itakua under protection.
 
Mliambiwa mtafute VPN mkagoma, sasa fanya hivi kama una rafiki yako ana VPN mwambie akutumie kupitia sender kisha install na uconnect ule mema ya nchi
 
Huu ni upumbavu wa kijinga tunarudishwa utumwani hiviiii
 
Telegram pia haifungui video wala picha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…