Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Tanzania tumerudi nyuma miaka 60. Watu wanatumia njia haramu za kila namna ikiwemo wizi ili kung’ang’ania madaraka.
Upuuzi mtupu, hakuna chama mbadala zaidi ya CCM. Meza au Tema. Watanzania sio manyumbu, kuchagua chama binafsi cha Mbowe kuwaongoza. Wenyewe mmeshindwa kujiongoza ndio itakuwa mama Tanzania?. Kafanyeni biashara nyingine.
 
Nenda browser andika apkpure.
Alafu Sach ufo vpn download.alafu ukishainstall connect..
Credit member mmoja wa jamii forum.
Unafanyaje mzee ili niweze kutumia VPN kwenye simu yangu. Naomba msaada
 
Upuuzi mtupu, hakuna chama mbadala zaidi ya CCM. Meza au Tema. Watanzania sio manyumbu, kuchagua chama binafsi cha Mbowe kuwaongoza. Wenyewe mmeshindwa kujiongoza ndio itakuwa mama Tanzania?. Kafanyeni biashara nyingine.
Watanzania hawawataki ndo maana wanakitaka chama binafsi Cha mbowe usitufokee, Kama vp mngefuta vyama vingi mbaki peke yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…