Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Safi sana bado wakate na Umeme CCM oye
 
Oya sio voda pekee hata Tigo haiwezi ku fungua
 
Ni tatizo la mitandao yote ita kuwa wame restricts Twitter
 
Wadau sijui kama itakua kwa upande wangu au ni sote ila kiukweli twita kwa sasa haifanyi kazi huwez tuma ujumbe au kupokea hata kama una kifurushi cha namna gani yaan ninahis utabir umetimia.
ngoja nione
 
Nimeweka nikapata twitter,sasa instagram siipati.

Naomba msaada zaidi.
Weka server ya USA, Canada, UK au Germany utapata social networks zote walizo block! Tumia proton vpn, vpn master au Hotspot Shield

Mimi niko Nevada, USA! Asaiv nawazoom tu huko TZ kama kawa [emoji41][emoji41]
 
Meko aliaminishwa kwamba uchaguzi huu atatangazwa akiwa amelala mkewe tu.
 
naitumia hiyo mw
Weka server ya USA, Canada, UK au Germany utapata social networks zote walizo block! Tumia proton vpn, vpn master au Hotspot Shield

Mimi niko Nevada, USA! Asaiv nawazoom tu huko TZ kama kawa [emoji41][emoji41]
naitumia hiyo mwezi wa 4 sasa sijawahi kujuta kwakweli
 
Asante kwa maelezo mazuri
 
Nimewasha VPN twitter nikaingia vizuri tu, ila nilipojaribu kuingia Jamiiforum ikagoma ku access Jf, mpaka imebidi kuzima VPN ndo ikapata access. [emoji3526]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…