Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Laiti mngejua mamlaka zimefanya haya Kwa ajili ya usalama wa taifa letu mngefunga midomo yenu michafu ya kulalama.
Una akili boss?? mawasiliano ni mhimu sana kulinda usalama.nchi ikivamiwa mtapataje taarifa?
 
Leo nimejaribu kuingia twitter lakini naona ina load tuu wala haifunguki. Hili tatizo lipo kwangu tu au kwa maana kuna mtu nimeona uzi wake analalamika Youtube pia haifunguki. What's wrong?!
Hadi WhatsApp nayo kwishiney
 
Jamani, kulikoni najaribu kutumia social media kama Twiter, YouTube. na WhatsApp zinagoma! Ni mimi tu au nanyie, natumia tigo
Sio ww tuu, mm natumia Airtel hali ni hiyo hiyo, naona wakuuu wameshafanya yao tayari.
 
Kwani ni Tz nzima au Dar es salaam tu ?
 
Hiyo ni kazi ya kiongozi muovu,na mwendawazimu!
Picha zake zimejaa kila mahali, limeongea peke yake miaka5, limepiga watu risasi limejeruhi na kuua, linatangazwa lenyewe tu kwenye TV na maredio, lkn bado linazima mitandao na litaiba kura!
Limeanza kuua watu, na litaendelea kuua!
Acha ujinga, suala la kufunga mitandao ipo dunia mzima kwa lengo la kulinda nchi. Ht U.S.A baada ya matokeo walimtuhumu facebook kwa kupanga matokeo.
 
Back
Top Bottom