Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mitandao ya Twitter, WhatsApp, YouTube na Telegram haipatikani kupitia baadhi ya mitandao ya simu

Tanzania tumerudi nyuma miaka 60. Watu wanatumia njia haramu za kila namna ikiwemo wizi ili kung’ang’ania madaraka.
Leo ndo nimeamini madaraka matamu Sana Aiseee, dah[emoji22] bila vpn Tanzania sijui ingekuwaje kimawasiliano
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Bora tu,

yaani kuna watu wanachochea kuni ili nyumba yetu iungue

Na wanadhani tutaendelea kuwachekea tu
wapumbavu nyie, mnadhani mtawafunga watu midomo wasifanye mabadiliko kwa kuzima mitandao ..kipigo cha mbwa koko kiko pale pale..tundu lissu for presidency
 
Kwanini wanazima sasa ili wapite kirahisi au ni ujinga tu unawasumbua @vodacomtanzania @tcratz
 
Ni Magufuli Tenaaaa.

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Mkuu sisi tuliochelewa ku download VPN imekula kwetu... hata app store haifanyi kazi.
Poleni. Sana. Mimi hapa napasua anga huku na kule mtandaonj. Japo whatsapp sijapokea meseji yoyote tangu jana mchana. Na hata ninazotuma zinaonekani haziwafikii walengwa.
 
Poleni. Sana. Mimi hapa napasua anga huku na kule mtandaonj. Japo whatsapp sijapokea meseji yoyote tangu jana mchana. Na hata ninazotuma zinaonekani haziwafikii walengwa.

Kwa hiyo ni useless sio kwa wasap.. JF ipo na hawajaifungia king reality so wakijikisia kufungua wafungue tu mie nala raha tu
 
Poleni. Sana. Mimi hapa napasua anga huku na kule mtandaonj. Japo whatsapp sijapokea meseji yoyote tangu jana mchana. Na hata ninazotuma zinaonekani haziwafikii walengwa.

Ni kwasababu wamechelewa ku download vpn kama mimi.
 
Naangalia TBC hapa wanasoma jumbe kutoka mitandao ya kijamii ... hahhaha dah!
 
Kwa hiyo ni useless sio kwa wasap.. JF ipo na hawajaifungia king reality so wakijikisia kufungua wafungue tu mie nala raha tu
Unajua na jf ikifunguwa hata baadhi yao nao watakuwa gizani naona wameiacha kidogo. Ila matokeo yatakapo anza kutolewa sina hakika sanaa kama tutaonana humu huwenda mtandao ukawa down.
 
Back
Top Bottom