Kuendelea kumtaja Hayati Magufuli kwa mabaya ni upuuzi wa ajabu

Wewe unaishi wapi ambako shetani hatajwi?
Kutajwa tu sio shidamaana wapo wenye kumuabudu kabisa hivyo wanamtaja, mie nikiangalia hali ilivyo naona maovu mengi kuliko mema tafsiri yake shetani ana wafuasi wengi tunaona na kusikia mambo ya shetani kwa wingi kuliko kusikia anavyolaaniwa shetani.
 
wafu hawajui neno lolote, ila marehemu atatajwa sana kwa mambo ya hovyo na mazuri aliyoyafanya ktk hii nchi
 
Kuna tofauti ya kuzungumzia histoaria ya mtu na kumsema mtu tunakozungumzia hapa, Nyerere huwa anatajwa sana ila ni tofauti na jinsi alivyomzungumzia Tundu Lissu bungeni ikazuia maneno.
 
Hapa nilipo mie,watanzania wengi wanaoishi hapa uingereza wanamkubali sana jpm,huwa tuna club yetu ya kukutana kila jmos ya mwezi,huwez amin,wanammiss sn jpm,japo wanakili kuwa alifanya makosa kubinya upinzani,
Watu wengi walionyooka wanamkubali Magufuli.
 
Mdogo wangu Heriel humu JF hujapajua vizuri tu? Ukitaka uonekane una akili mtukane Magufuli. Kinyume chake ndio haya unayoyaona.
Watu wanaacha kupambana na maisha yao na majukumu ya kila siku wanahangaika na marehemu.
 
mwendazake ni jinamizi lililojivika ktk vazi la uzalendo, yaani atatajwa sana, zitto kasema ambao hawataki kusikia akitajwa wamfuate kaburini
 
Kuna tofauti ya kuzungumzia histoaria ya mtu na kumsema mtu tunakozungumzia hapa, Nyerere huwa anatajwa sana ila ni tofauti na jinsi alivyomzungumzia Tundu Lissu bungeni ikazuia maneno.
Huwezi kumtenganisha mtu na matendo yake.
Kuna manabii wa Mungu walishafariki maelfu ya miaka nyuma, lakini bado wanatajwa kwa matendo yao, mazuri na mabaya
 
Anatajwa na Wajerumani? Au kina Nani?
Kutaja taja Wafu kila mara ni dalili ya kuchanganyikiwa.
Unataja Watu ambao hawana chochote chakufanyak

Magufuli nilimlaani akiwa hai lakini sinaga Laana wala baraka Kwa Watu waliokwisha Kufa.

Kila MTU MTU mpenda Haki alichukizwa na Matendo hayo, ikiwemo Mimi.
Kwa hivyo sio vibaya kukumbusha uovu wake ili wenye madaraka na watakaokua na madaraka siku zojazo wajifunze kuwa Kuna haja ya kuwatendea watu wema, Mana mabaya huambatana na mtendaji wa hayo mabaya. (Lesson)
Kizazi hiki kitayazungumzia mabaya yake wakati wote mpaka kitapotoweka kwenye uso wa dunia!!

Tusubiri miaka mingine 50 idadi ya watakaokua wanazungumzia mabaya yake itakua imeoungua Kama sio kuisha


Vivyo Kama Kama wanazungumzia mazuri yake watakwisha Ni swala la muda tu, kwahiyo Kama watu wanavyofurahia kukumbushia mazuri yake kila siku Basi wavumilie watu wanazungumzia kwa upande wa pili!
 
Mpuuzi ni wewe usiyejua /usiyeweza kupima/kutafakari machungu waliyonao ya aliowaumiza! Ni upuuzi wa jabu ulio nao wewe. Mke wa azory, Ben and many many others wanajisikiaje muda huu bila kuwa na wapendwa wao? Wewe "ntu" wa ajabu!
 
Maelezo kuntu..
Hii post inafaa kufanyiwa lamination na kuwasilishwa pale Lumumba!
Ionwe na Robert Heriel, ccm
 
Ona tutusa hili.
 
Ingekuwa wewe ndiye uliyepigwa Risasi thealthini,Mtoto wako alipotezwa, Ndugu zako waliuawa(Baba au mama yako) ulibomolewa nyumba yako Morogoro Road bila kulipwa hata mia nazani ungekuwa unamlaani milele hata kama amekufa
Haisaidiii....
 
Reactions: nao
Una uthibitisho gani kwamba Magufuli aliua mtu? Alimuua nani? Thibitisha...
 
Reactions: nao
Wayahudi wanaomlaani Hitler mpaka Leo unadhani niwajinga wewe ndio mwerevu! Mjinga kabisa wewe!
Sawa, wewe endelea kulialia kama juha uone kama kunakitakacho badilika.
Magufuli alisha waumbua wajombazenu walamba asali na wapinzani wachumia tumbo, akikuambia hataki ujinga kwenye rasilimali za nchi he was not joking.

Mnajitia mastress ya kijinga bila kujua.
Wengine mnatumwatu,mjitoe akili 24/7 muwe mna pambana na Marehemu.

Saazingine muwe mnawalaumu wazaziwenu kwa kuzembea kuwapeleka shule,maisha hayana short cut, cheti feki unajuwa ninacho maanisha.
 
Reactions: nao
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…