Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Kipindi Serikali inasisitiza amani, naomba ikumbuke kusisitiza pia haki, halikadhalika jeshi la polisi na tume ya uchaguzi, mnasisitiza amani itawale katika nchi yetu lakini mnasahau kusisitiza pia haki itawale, haya yanayoenda kutokea pemba kiukweli Mwenyezimungu atuepushe viongozi mliopewa dhamana ya kutuongoza mkumbuke wajibu wenu nikutenda haki, kisha amani itatamalaki yenyewe bila hata kuisisitiza.
Angalia video ,ndipo tulipofika huku.
View attachment 1552499
Tatizo sisi hatuna ndugu huko hivyo hatujali.Katika hali inayoashiria uwezekano wa umwagaji mkubwa wa damu huko Zanzibar hasa kisiwani pemba, wananchi wa huko wakiwa na hasira kali kutokana na kuenguliwa wagombea wao, wamejiapiza kukabiliana na chochote kilicho mbele yao hata ikibidi kupoteza maisha yao.
Wamehimizana kila mmoja kuandika usia kabisa kwa sababu chochote kinaweza kutokea.
Kwa kweli kama Taifa hatukupaswa kufika hapa, Wazanzibar wamevumilia mengi, wamevumilia ishu ya uchaguzi wa mwaka 2015, wakavumilia kuingiliwa na kuvurugwa chama chao kikuu cha CUF, sasa leo kweli wavumilie kweli kunyimwa chaguo la kumchagua mtu wamtakaye? βaaah wakubwa, oneni aibu
Lakini Kama wananchi wakimwaga damu zao kwa sababu ya michezomichezo hii ya kunyima haki wananchi, Tume ya Uchaguzi NEC na watawala, hawatakwepa lawama, damu za wananchi wasio na hatia zitakuwa mikononi mwao.
Hapa chini ni video ikionyesha wananchi wakijiapiza kwa lolote!
View attachment 1552518
Hao waliohimizana kuandika wosia Maalim seif nae yupo au anataka wenzake waandike wakaandame wafe halafu arithi wake wa wenzake.
Ccm na viongozi wao wa dini uchwara walivyo wanafki huwa wanaongelea neno Amani tu lakini hutawasikia wakiongelea neno HAKI hata siku moja.Huu msamiati wa haki ni mgumu na mchungu kwel kwa chama chakavu
Huyo muongeaji ACT wampe ulinzi asije akajiteka kama Abdul Nond
Huyo muongeaji ACT wampe ulinzi asije akajiteka kama Abdul Nond
Wataanza na yeye kwanza kabla ya wengine!Katika hali inayoashiria uwezekano wa umwagaji mkubwa wa damu huko Zanzibar hasa kisiwani pemba, wananchi wa huko wakiwa na hasira kali kutokana na kuenguliwa wagombea wao, wamejiapiza kukabiliana na chochote kilicho mbele yao hata ikibidi kupoteza maisha yao.
Wamehimizana kila mmoja kuandika usia kabisa kwa sababu chochote kinaweza kutokea.
Kwa kweli kama Taifa hatukupaswa kufika hapa, Wazanzibar wamevumilia mengi, wamevumilia ishu ya uchaguzi wa mwaka 2015, wakavumilia kuingiliwa na kuvurugwa chama chao kikuu cha CUF, sasa leo kweli wavumilie kweli kunyimwa chaguo la kumchagua mtu wamtakaye? βaaah wakubwa, oneni aibu
Lakini Kama wananchi wakimwaga damu zao kwa sababu ya michezomichezo hii ya kunyima haki wananchi, Tume ya Uchaguzi NEC na watawala, hawatakwepa lawama, damu za wananchi wasio na hatia zitakuwa mikononi mwao.
Hapa chini ni video ikionyesha wananchi wakijiapiza kwa lolote!
View attachment 1552518
Huyo muongeaji ACT wampe ulinzi asije akajiteka kama Abdul Nond
Muungano haufi tumeshaungana kifamilia mkuu!Na kuvunjika kwa muungano
Huyo muongeaji ACT wampe ulinzi asije akajiteka kama Abdul Nond
Hakuna cha vita wala nini!!
Labda hao hawakuwepo wakati wa Rais Mkapa lakini kama walikuwa watu wazima hawawezi kutia mguu barabarani.Nimeishi huko wanamisimamo sana hawatanii labda viongozi wao wawazui
Pumbavu wewe, watu wanahimiza watawala watende haki, wewe unakumbusha mauaji ya mkapa.Labda hao hawakuwepo wakati wa Rais Mkapa lakini kama walikuwa watu wazima hawawezi kutia mguu barabarani.
Inaonekana ulizaliwa kipindi cha Kikwete. Kama ungezaliwa nyuma ya hapo ungewajua Wapemba vizuri.