Kuepusha ulawiti, walimu wa madrassa wawe wanawake tu!

Maostaz wanamalizia upwiru kwa watoto
 
Pamoja na hilo mtu akishikwa amefanya kitendo hicho adhabu iwe kuuawa. Na adhabu isicheleweshwe
 
Nilishawahi kufanya Kazi kwenye shule ya masister aisee nilikoma, sijawahi ona mwanamke mwenye roho mbaya kama sister
 
Nilishawahi kufanya Kazi kwenye shule ya masister aisee nilikoma, sijawahi ona mwanamke mwenye roho mbaya kama sister
Uko sawa mkuu ni wana roho katili mno labda kwa vile hawazai hawajui uchungu wa mwana
 
Mwanamke anaonekana km kimbilio la usalama kwa watoto hasa wa kiume, ilianzia kwenye school buses na wanafanya vizuri sana, huwa nafurahi napopishana nao jijini wanawavukisha watoto kwenye zebra nk km mama aleavyo mtoto wake,
Hakuna wanawake wapenda vibenten?
 
Kwamba hadi kwenye kujifunza DINI na kwenyewe hadi tuweke ulinzi kwa watoto wetu? Wafuasi wa shetani watasemaje wakisoma uzi hu?
 
no,sio walimu wa madrasa wawe wanawake..NO,,,madrasa zote zifutwe,,na QURQN zitafsiriwe kwa kiswahili,ili watoto wajifunze wenyewe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…