Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MASHEHE WA TANZANIA NJOONI HUMU MUONE ATI WAALIMU WENU WA MADRASA WANAKULA WAVULANA1. Hivi karibuni imeripotiwa Walimu wa kiume wa Madrassa kulawiti watoto huko Mafia, Zanzibar na Sumbawanga.
Soma: Mkuu wa Wilaya ya Mafia: Watoto 15 wamelawitiwa na Ustadhi wa Madrasa Kisiwani Mafia
2. Nashauri kuanzia Sasa Walimu wa Madrassa wawe WANAWAKE tu kuepusha majanga zaidi.
3. Watoto Wana haki ya kulindwa na hatari ya kulawitiwa.
Wabillah Taufiq
@dgwajima
Acha Usenge😏kwani ulilazimishwa kupeleka kijana wako?
Pamoja na hilo mtu akishikwa amefanya kitendo hicho adhabu iwe kuuawa. Na adhabu isicheleweshwe1. Hivi karibuni imeripotiwa Walimu wa kiume wa Madrassa kulawiti watoto huko Mafia, Zanzibar na Sumbawanga.
Soma: Mkuu wa Wilaya ya Mafia: Watoto 15 wamelawitiwa na Ustadhi wa Madrasa Kisiwani Mafia
2. Nashauri kuanzia Sasa Walimu wa Madrassa wawe WANAWAKE tu kuepusha majanga zaidi.
3. Watoto Wana haki ya kulindwa na hatari ya kulawitiwa.
Wabillah Taufiq
@dgwajima
Nilishawahi kufanya Kazi kwenye shule ya masister aisee nilikoma, sijawahi ona mwanamke mwenye roho mbaya kama sisterSi muda mrefu kazi nyingi utaomba km ni mwanaume hupati, wale wanaoponda wanawake wanazidi kuumia,
Ila hili liende mpaka makanisani hasa RC, pamoja na kuwa wale masister wao sijui wanawavutishaga bangi wana roho mbaya sijapata kuona, mfano ni mamangu wa kambo mshua alimtolea kwenye usister ila bonge moja ya katili
Uko sawa mkuu ni wana roho katili mno labda kwa vile hawazai hawajui uchungu wa mwanaNilishawahi kufanya Kazi kwenye shule ya masister aisee nilikoma, sijawahi ona mwanamke mwenye roho mbaya kama sister
Hakuna wanawake wapenda vibenten?Mwanamke anaonekana km kimbilio la usalama kwa watoto hasa wa kiume, ilianzia kwenye school buses na wanafanya vizuri sana, huwa nafurahi napopishana nao jijini wanawavukisha watoto kwenye zebra nk km mama aleavyo mtoto wake,
SijuiHakuna wanawake wapenda vibenten?
Allah yupo barTakbir
InasikitishaKwamba hadi kwenye kujifunza DINI na kwenyewe hadi tuweke ulinzi kwa watoto wetu? Wafuasi wa shetani watasemaje wakisoma uzi hu?
no,sio walimu wa madrasa wawe wanawake..NO,,,madrasa zote zifutwe,,na QURQN zitafsiriwe kwa kiswahili,ili watoto wajifunze wenyewe!!1. Hivi karibuni imeripotiwa Walimu wa kiume wa Madrassa kulawiti watoto huko Mafia, Zanzibar na Sumbawanga.

faiza Foxy
faiza Foxy