Kuepusha ulawiti, walimu wa madrassa wawe wanawake tu!

Kuepusha ulawiti, walimu wa madrassa wawe wanawake tu!

Maostaz wanamalizia upwiru kwa watoto
 
1. Hivi karibuni imeripotiwa Walimu wa kiume wa Madrassa kulawiti watoto huko Mafia, Zanzibar na Sumbawanga.

Soma: Mkuu wa Wilaya ya Mafia: Watoto 15 wamelawitiwa na Ustadhi wa Madrasa Kisiwani Mafia

2. Nashauri kuanzia Sasa Walimu wa Madrassa wawe WANAWAKE tu kuepusha majanga zaidi.
3. Watoto Wana haki ya kulindwa na hatari ya kulawitiwa.

Wabillah Taufiq
@dgwajima
Pamoja na hilo mtu akishikwa amefanya kitendo hicho adhabu iwe kuuawa. Na adhabu isicheleweshwe
 
Si muda mrefu kazi nyingi utaomba km ni mwanaume hupati, wale wanaoponda wanawake wanazidi kuumia,

Ila hili liende mpaka makanisani hasa RC, pamoja na kuwa wale masister wao sijui wanawavutishaga bangi wana roho mbaya sijapata kuona, mfano ni mamangu wa kambo mshua alimtolea kwenye usister ila bonge moja ya katili
Nilishawahi kufanya Kazi kwenye shule ya masister aisee nilikoma, sijawahi ona mwanamke mwenye roho mbaya kama sister
 
Nilishawahi kufanya Kazi kwenye shule ya masister aisee nilikoma, sijawahi ona mwanamke mwenye roho mbaya kama sister
Uko sawa mkuu ni wana roho katili mno labda kwa vile hawazai hawajui uchungu wa mwana
 
Mwanamke anaonekana km kimbilio la usalama kwa watoto hasa wa kiume, ilianzia kwenye school buses na wanafanya vizuri sana, huwa nafurahi napopishana nao jijini wanawavukisha watoto kwenye zebra nk km mama aleavyo mtoto wake,
Hakuna wanawake wapenda vibenten?
 
Kwamba hadi kwenye kujifunza DINI na kwenyewe hadi tuweke ulinzi kwa watoto wetu? Wafuasi wa shetani watasemaje wakisoma uzi hu?
 
1. Hivi karibuni imeripotiwa Walimu wa kiume wa Madrassa kulawiti watoto huko Mafia, Zanzibar na Sumbawanga.

Soma: Mkuu wa Wilaya ya Mafia: Watoto 15 wamelawitiwa na Ustadhi wa Madrasa Kisiwani Mafia

2. Nashauri kuanzia Sasa Walimu wa Madrassa wawe WANAWAKE tu kuepusha majanga zaidi.

3. Watoto Wana haki ya kulindwa na hatari ya kulawitiwa.

Wabillah Taufiq
@dgwajima
no,sio walimu wa madrasa wawe wanawake..NO,,,madrasa zote zifutwe,,na QURQN zitafsiriwe kwa kiswahili,ili watoto wajifunze wenyewe!!
 
Back
Top Bottom