Namaanisha wewe huyo sio baba yako,baba yako ni yule baba wa kopi yako,umenielewaKwamba hata tumbo tusingeona?, hata angebeba mimba kisirisiri je mtoto tusingepakata....noo nakataa...hiyo ilitokea tu
Mimi Mwenyewe nafananishwa Sana na Goodluck Gozbert
Kuna siku nilienda Katika harusi nimevaa Suti watu wakaanza kushangaa mara ohoo amekuja Gozbert muimbaji wa Injili.
Kuna shoga mmoja wa Tandale Uzuri umefanana naye kinyamaaaa.Hello JF
Nimejikuta nalazimika kuleta uzi sasa maana hii imeanza kunishangaza.
Tangu nakuwa ni kawaida kukutana na watu then wananiambia nimefanana na either ndugu yao fulani au jamaa zao. Imefika hatua now nimekuwa wengine mpaka hunipiga picha. Wakawaonyeshe wahusika. Ikafika muda nikawa nahesabu na kunote mahali, mpaka sasa ni zaidi ya watu 15 ambao nishakutana nao kisha wakanifananisha na jamaa zao.
Ingawa binafsi kihalisi nishakutana na watu watatu ukitutazama ni kama mapacha au ndugu wa tumbo moja. Uzuri mwingine nilikuwa nimemtangulia kidato shule moja.
Kiukweli inashangaza sana.
Hii issue imetokea muda mfup uliopita tu .Goodluck Gozbert wa zamani yule au wasasa?Mana yule wazamani !!!!!
Hili ndilo jibu....Sote sisi ni ndugu toka kwenye shina moja
Unatabia za kike kike kuramba midomo na kulegeza macha kama gozbert,tabia za kishoggaMimi Mwenyewe nafananishwa Sana na Goodluck Gozbert
Kuna siku nilienda Katika harusi nimevaa Suti watu wakaanza kushangaa mara ohoo amekuja Gozbert muimbaji wa Injili.
Unatabia za kike kike kuramba midomo na kulegeza macha kama gozbert,tabia za kishogga
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Hata wao wakituona wanasema tunafanana sana....wadhungu asilimia kubwa wanafwanana sana tofauti na huku kwetu
sijuwi kwanini sisi
Sio kweli,wanasema tunafanana na nyani[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Hata wao wakituona wanasema tunafanana sana....
anhaa! ndiyo maana nilimwambia To yeye kwamba kujigundua wewe mwenyewe kwamba unafanana na fulani, mmh wachache sana.[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Hata wao wakituona wanasema tunafanana sana....
Nyani wote wanafananaSio kweli,wanasema tunafanana na nyani
Ilibidi muongee huenda ni ndugu yakoMi nilifananishwa na watu watatu afu wa NNE nikaja onana nae mi mwenyewe airport.... Mwanamke mwenzangu ....aisee nilishtuka hata kumsimamisha niliogopa....ila tulipogongana macho tulitazamana kwa muda mrefu afu kila MTU hamwambii kitu mwenzie....Mimi mwili ulisisimka...nilijihisi upendo wa hali ya juu usioelezeka(ni kama mshtuko ulikuwa wa furaha..hata sielewi) ...njia nzima tangu tupishane ni full kugeukiana.Daaa,kumbukumbu isiyosahaulika