Turudi pale Rau Madukani
JF-Expert Member
- Jan 16, 2016
- 2,339
- 5,112
Ha ha ha,watu hawachelewiWatakwambia huyo ni wewe umetoka kwenye Future ndio maana mlishindwa kuongea
Mambo ya Time Travel hayo [emoji1787]
Utakuwa unafanana na mnyama flani na ni kufanana hasa.[emoji23][emoji23][emoji23]Hello JF
Nimejikuta nalazimika kuleta uzi sasa maana hii imeanza kunishangaza.
Tangu nakuwa ni kawaida kukutana na watu then wananiambia nimefanana na either ndugu yao fulani au jamaa zao. Imefika hatua now nimekuwa wengine mpaka hunipiga picha. Wakawaonyeshe wahusika. Ikafika muda nikawa nahesabu na kunote mahali, mpaka sasa ni zaidi ya watu 15 ambao nishakutana nao kisha wakanifananisha na jamaa zao.
Ingawa binafsi kihalisi nishakutana na watu watatu ukitutazama ni kama mapacha au ndugu wa tumbo moja. Uzuri mwingine nilikuwa nimemtangulia kidato shule moja.
Kiukweli inashangaza sana.
Mi nilifananishwa na watu watatu afu wa NNE nikaja onana nae mi mwenyewe airport.... Mwanamke mwenzangu ....aisee nilishtuka hata kumsimamisha niliogopa....ila tulipogongana macho tulitazamana kwa muda mrefu afu kila MTU hamwambii kitu mwenzie....Mimi mwili ulisisimka...nilijihisi upendo wa hali ya juu usioelezeka(ni kama mshtuko ulikuwa wa furaha..hata sielewi) ...njia nzima tangu tupishane ni full kugeukiana.Daaa,kumbukumbu isiyosahaulika
Kwani wewe hutambui sura yako Mkuu?Hivi ukikutana na mtu uliyefanan naye unaweza kujua kama umefanana naye???
Hii ni kwa maeneo tofauti tofauti.Utakuwa unafanana na mnyama flani na ni kufanana hasa.[emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu huwezi kufanana na watu 15 wa eneo unalokaa. Yaani wilaya nzima huwezi kufanana na watu zaidi ya wawili.
Na kawaida kila mtu anafanana na mnyama flani kwa mbali. Wewe itakuwa mnyama wako kakurandisha sana. Inawezekana ni mbuzi. Si ndio wako kibao mitaani?
[emoji23][emoji1787][emoji23] Sio uoga in such sipendi tu. Nakumbuka nikiwa secondary Kuna jamaa alikuwa ni km anafanana na mke kwa 80% nilikuwa sipendi Ile rafiki zangu wakinifananisha nae sometimes waniita Jina lake badala ya Jina langu. Nashukuru sijatoka na pacha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha uoga!Kuna horror movie Zina huo mchezo wa jini kujifananisha sura ya mtu....Mi napenda kweli
Kweli bro !! Unafanana na panyaroad [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hello JF
Nimejikuta nalazimika kuleta uzi sasa maana hii imeanza kunishangaza.
Tangu nakuwa ni kawaida kukutana na watu then wananiambia nimefanana na either ndugu yao fulani au jamaa zao. Imefika hatua now nimekuwa wengine mpaka hunipiga picha. Wakawaonyeshe wahusika. Ikafika muda nikawa nahesabu na kunote mahali, mpaka sasa ni zaidi ya watu 15 ambao nishakutana nao kisha wakanifananisha na jamaa zao.
Ingawa binafsi kihalisi nishakutana na watu watatu ukitutazama ni kama mapacha au ndugu wa tumbo moja. Uzuri mwingine nilikuwa nimemtangulia kidato shule moja.
Kiukweli inashangaza sana.
😂😂😂We jamaa mbinafsi sana[emoji23][emoji1787][emoji23] Sio uoga in such sipendi tu. Nakumbuka nikiwa secondary Kuna jamaa alikuwa ni km anafanana na mke kwa 80% nilikuwa sipendi Ile rafiki zangu wakinifananisha nae sometimes waniita Jina lake badala ya Jina langu. Nashukuru sijatoka na pacha[emoji23]
Nimewahi kukutana na mtu kama huyuMi nilifananishwa na watu watatu afu wa NNE nikaja onana nae mi mwenyewe airport.... Mwanamke mwenzangu ....aisee nilishtuka hata kumsimamisha niliogopa....ila tulipogongana macho tulitazamana kwa muda mrefu afu kila MTU hamwambii kitu mwenzie....Mimi mwili ulisisimka...nilijihisi upendo wa hali ya juu usioelezeka(ni kama mshtuko ulikuwa wa furaha..hata sielewi) ...njia nzima tangu tupishane ni full kugeukiana.Daaa,kumbukumbu isiyosahaulika
Hii ina ukweli... me pia ni hivyohivyoZamani nilikua nafananishwa na watu wengi mara huyu aseme kaniona Dodoma mwingine Kigoma mara hivi mara vile...
Ila maisha yalivyochanganya na kunichapa sura yangu asili ikapatikana. Sasa hivi nina miaka 12+ sijawahi sikia hiyo kauli.
Nikwambie tu bado una sura ya maziwa ya mama, maisha hayajachanganya... Huoni watoto wachanga wengi wanafanana?
Yeah,kuna wenzetu bhana....yaan wapo kabisaNimewahi kukutana na mtu kama huyu