Kufanya biashara na Watanzania mtandaoni ni taabu sana

Nadhani ili kuepuka huo usumbufu mwisho wa tangazo andika "SITAKI MASWALI"
 
Tofautisha unaepigiwa simu mbili kwa siku na sie wengine

Simu zipo nne , utashinda unapokea simu asubuh mpaka usiku mzito

Hapo una text za fb
Text za dm insta
Comments fb na insta
Whatsapp nne

Fb peke yake ni msg zaid ya buku per day

Huo mda wa kupiga story na kujibu hao wavivu kusoma haupo, na most of the time hawanunui n wasumbufu , napuuzia naendelea na wateja serious
 
Hii ni kweli lakini tuichukulie kama changamoto tu ya biashara.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kwann usiweke utaratib mzuri tu kuwa attend wote?
 
Kwann usiweke utaratib mzuri tu kuwa attend wote?
Huo utaratibu tayar upo , uzoefu tayar ulishanifunza nani ni mteja na nani sio mteja kutokana na nature ya biashara nayofanya

Kuna maswali nikiyaona tu hata siendelei na hiyo conversation najua tu mwisho wa siku atasema ajipange au akipata pesa atakuja wakat huo huo wako watu wanasubiri uwahudumie na wana nunua hapo hapo , so napjga chini naenda kwa anaefuata kwenye line
 
Of course wanoulizia kila kitu sio wanunuzi wengi wanafanya window shopping
 
Anaifanyaje picha eh!
 
samahani mkuu ushafanya/unafanya biashara na Watanzania online???


naona huwajui vzr shehe....
 
samahani mkuu ushafanya/unafanya biashara na Watanzania online???


naona huwajui vzr shehe....
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Honestly hapana ..mi nafanya sales za man to man so nimezungumza kwa experience hii
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Honestly hapana ..mi nafanya sales za man to man so nimezungumza kwa experience hii
Basi kajaribu itakuja kuungana na uzi wangu hapa.
uzuri wauzaji wengine pia wameweka uzoefu wao hapa.
 
Mara nyingi huwa na bei kwa kila myeja mimi ilishawahi kutokea wakat najifungua nilihitaji bidhaa duka kubwa tuy insta nikamuuliza aliniambia 180,000 tukafika hadi 150,000 nikamwambia wifi yangu amuulize na yeye he alisema 240,000 hamna hamna 210,000 sababu wifi alichat full english hahahah
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ anapigwa mtu chap
 
Kuna mmoja kila siku story huu mwezi wa tatu tangu a one bidhaa na aahidi kununua mpaka leo akipiga napokea akituma sms namjibu akinihaidi kununua namwambia KARIBU

πŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈ
 
Wanunuzi huwa wanapiga simu tu. Moja kwa moja hawana maelezo na kuchati kwingi.

Me hadi now nikitaka bidhaa naangalia maelezo then napiga simu moja kwa moja sio kuhoji hoji maswali ya kiwaki.πŸ˜‚

Mteja nikiona kaja tu na maswali ambayo kimsingi yapo kwenye tangazo. Najua tu huyu si mnunuzi namjibu nikiwa na muda.
 
Ndio inavyotakiwa ukiwafuatisha watakupotezea muda halafu mwisho wa siku chenga.
Kuna mteja anaweza akakufuata akakwambia nahitaji bidhaa za kujaza duka zima nahitaji kuanzisha duka jipya mahali.
Sasa wewe utafurahi kwamba umepata bonge la mteja unaanza kuandaa price list ya vitu vyote vya duka kisha baada ya hapo mnaanza kubargain na unaweza kupoteza siku nzima kwa ajili yake na kisha mwishoni anakujibu"Powa Bro asante nikipata hela nitakwambia"very disappointing[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…