Kuna wale wanauza spare parts za gari kwa bei ya jumla. Unakuta mtu kapost picha bei haweki unauliza kwenye comment halijibu. Ukienda inbox hajibuHii tabia inakera SANA
Watu kukuhoji unaita ujinga? Punguza ujuaji mzee! Huko AliExpress kwenyewe pamoja na details zote za bidhaa kuwekwa bado seller anahojiwa na anatoa ushirikiano mujarabu. Wewe unadai eti ni ujinga jirekebishe mzee online business inataka uwe smartIngawa niweke wazi kuna baadhi ya wauzaji hawana elimu ya vile vitu wanavyoviuza hii hata physically nimegundua. Unaiona bidhaa unamuuliza kuhusu baadhi ya sifa zake hata hajui hizo sifa ni kitu gani.
mfano mtu anauza computer anachojuanyy ni ram na hdd tu. unamuuliza hii processor ni i5 gen ya ngapi hajui.
mtu anauza simu anachojuayeye ni Ukubwa wa kamera ram na Storage tu.
Huwa inakera sana, biashara za online wafanyabiashara wa kibongo bado sanaSijawahi kuona wafanyabiashara wapuuzi kama wa Online katika hii nchi! Anaweka product na kazi yake tu ila specifications hamna na bei haweki anataka umpigie simu au uende inbox. Sasa unauza kitu ambacho thamani yake huijui ama! Hii tabia inakera mno mbadilike.
😂😂😂😂😂😂😂😂Kuna wale wanauza spare parts za gari kwa bei ya jumla. Unakuta mtu kapost picha bei haweki unauliza kwenye comment halijibu. Ukienda inbox hajibu
Bas labda anacheck kama Seller upo ACTIVE😂😂Yaani chief watu wanakuuliza maswali ambayo yana majibu kwenye description tena umeyapanga very clear.
Acha hizo mkuu,hapo juu Achimwene wa Makete kaelezea vizuri,ni tabia ya wateja kujihakikishia anachohitaji kabla hajatoa pesa yake,inatokea hata kwenye maduka,unaingia dukani unamwambia muuzaji nipe simu ile unaiangalia,then unamwabia nipe na ile unaiangalia,then unaondoka kabisa bila hata ya kununua,sasa hapo ukinuna utawanunia wangapi,kifupi wengi wenu customer care hamuijui,mnakurupuka tu kufanya hizo biashara...Elimu ya customer care mkuu unamaanisha nini kuweza kuvumilia ujinga wa wengine..
Ili kupunguza maswali unaweka maelezo yote yaliyoshiba tena kwa msisitizo ili mtu akija inbox basi aje kama mnunuzi. kama sio mnunuzi ni alipite tu tangazo.
Daah sasa mkuu unahoji vipi mambo ambayo kwenye maelezo ya bidhaa yapo mkuu.Watu kukuhoji unaita ujinga? Punguza ujuaji mzee! Huko AliExpress kwenyewe pamoja na details zote za bidhaa kuwekwa bado seller anahojiwa na anatoa ushirikiano mujarabu. Wewe unadai eti ni ujinga jirekebishe mzee online business inataka uwe smart
Hakuna biashara pasua kichwa kama kuuza nguo na viatu online.Biashara ya nguo naona itanipasua kichwa aisee. Ukiweka za aina hii watu wazima wanasema hizo ni za vijana. Ukileta za vijana watu wazima wanakuambia sivai Modo😅
Ngoja nihamie kwenye simu tu au niuze vyote kwa pamoja. Advice??
Biashara ya nguo naona itanipasua kichwa aisee. Ukiweka za aina hii watu wazima wanasema hizo ni za vijana. Ukileta za vijana watu wazima wanakuambia sivai Modo😅
Ngoja nihamie kwenye simu tu au niuze vyote kwa pamoja. Advice??
Sahii kabisa,Una tatizo la anger management. Hufai kuwa kitengo cha Customer Service utakuwa unaharibu sana. Kwa msaada zaidi soma types of Customers. Mi ukinilitea mawenge nakupa spana live bila chenga na biashara inakufa.
Jenga mentality mteja ni kama mtoto tu, kuna wanaoelewa fasta na kuna wanaochelewa kuelewa.
[emoji4][emoji106]Ingawa niweke wazi kuna baadhi ya wauzaji hawana elimu ya vile vitu wanavyoviuza hii hata physically nimegundua. Unaiona bidhaa unamuuliza kuhusu baadhi ya sifa zake hata hajui hizo sifa ni kitu gani.
mfano mtu anauza computer anachojuanyy ni ram na hdd tu. unamuuliza hii processor ni i5 gen ya ngapi hajui.
mtu anauza simu anachojuayeye ni Ukubwa wa kamera ram na Storage tu.
Tena kama vitu vya electronics ni muhimu unaweka tu model.Biashara ya nguo naona itanipasua kichwa aisee. Ukiweka za aina hii watu wazima wanasema hizo ni za vijana. Ukileta za vijana watu wazima wanakuambia sivai Modo😅
Ngoja nihamie kwenye simu tu au niuze vyote kwa pamoja. Advice??
Price tag kwenye bidhaa ni muhimu sana kwa biashara ya onlineMwingine anaweka tangazo, Bei haweki.
Anaaandika TU "serious buyer, check my pm"
Unabaki kujiuliza,
huyu mtu anaakili kweli?
Hivi Ni wangapi wataingia pm kwake?
Hajui kua wengine hushawishika kununua Kwasababu Bei iko chini?
[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji3][emoji3]Mbona hata physical ni hivyo hivyo tu, siye wauza genge anakuja bidada anaminyaminya nyanya halafu ananunua biringanya.