Kufanya kazi vijijini nilikuwa nasikiaga tu kwa jirani

Acha ujinga dawa za kuua wadudu hazipo mjini ununue? Acha kazi basi.
 
acha kulalamika,acha kazi njoo town tucheze draft
 
😂
Mwalimu jikite na kufundisha ndio Kazi tuliyokupa ,huku town kitambaa cheupe ,madem wakali wote WA kinondoni ,sinza ,tutabaki tunawala Sisi [emoji23][emoji23]

Hakikisha unafuga kuku ...
😂
 
Tanzania tunasikitisha sana vijijini.

Kuna kijiji nilienda maji yana rangi ya juisi ya ukwaju na wazawa wanakunywa bila hofu.

Guest niliofikia wanauliza kabisa kama utaoga asubuhi au jioni maana unapata ndoo moja tu kwa kila kutwa moja ya makazi.
Wakati Rais anawaambia watu wa Mjini lipeni tozo tuboreshe Haya maisha Vijijini mlikuwa mnamtukana,komaeni Sasa.
 
Ccm mbere kwa mbere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…