Kufanya ngono na mtu au wakati usio sahihi kumeharibu maisha ya watu wengi hasa vijana. Tumia njia hii kujinasua

Kufanya ngono na mtu au wakati usio sahihi kumeharibu maisha ya watu wengi hasa vijana. Tumia njia hii kujinasua

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Nyumbani it's first time kaja dada wa kazi kutoka Mbeya,

Hana maajabu ila akili za wanaume si mnazijua. Nikaanza kumtamani. Nikaanza kumlia timing, nikawaza wife akienda kwenye kitchen party au send-off usiku nimkule.

Yesu tusaidie wanaume.

Unajua unaweza kuharibu familia kwa tendo la dk 3 tu.

Mungu kaniponya na huu mtego wa Ibilisi.

Nimeponaje?
Nimewaza effects za tendo , Yaani nimeenda mbali mpaka kucheki maisha baada ya kumfanya huyu binti.
Sasa niko huru.

Hii ndio njia nitaitumia kuepuka kufanya ngono na mtu asiye sahihi. Nitawaza madhara na si kuwaza ladha ya zile dk 5.

Fanya hivi kijana na mwanaume ili uvuke vikwazo
 
Hadi nimepigilia misumari mawazo yangu, nilikuwa zaidi ya sahihi🤣🤣

Hili naongea serious, mdada anayenisaidia malezi ya madogo siwezi kumgusa katu. Yule ni sehemu ya familia yangu, ingekuwa hivyo mbona zamani sanaaa...
Mimi nilitaka nikufurahishe kwa kutumia maneno ya huyo mtu unayemuhisi 😂😂
 
Back
Top Bottom