Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Thanks.Una macho ya juu juu ya kutamanii..
Angaliaa usimwaribie Binti wa watu maishà yake nawe pia ukaaribu ndoa nakutengenezaa single mother wawili Kwa wkt mmojaaa..
Balance geje hzo...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hyo mkuu shetan mkuu n CCM !!yulee tunayeambiwa yupo kuzimu n mdogo wakee CCM cyooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120]Kongole kwa kumshinda shetani, ila tuungane sote kumpinga shetani mkubwa zaidi ya Lucifer aitwaye CCM.
🙏🙏🙏
Wale tu kimasihara ila wasije kuomba ushauri humuWafuasi wa kula kimasihara hawatakuelewa.
Maisha ni ya kwake, ila msiba wa wote 🤣Wale tu kimasihara ila wasije kuomba ushauri humu
🤣🤣🤣 UongoBinafsi hata dada wa kazi akae uchi hanipati. Nilishajiwekea hivyo! Ila huku mitaa ya Tegeta A aah!!
Hadi nimepigilia misumari mawazo yangu, nilikuwa zaidi ya sahihi🤣🤣🤣🤣🤣 Uongo
Labda km sio wewe mzee wa loose balls
Mimi nilitaka nikufurahishe kwa kutumia maneno ya huyo mtu unayemuhisi 😂😂Hadi nimepigilia misumari mawazo yangu, nilikuwa zaidi ya sahihi🤣🤣
Hili naongea serious, mdada anayenisaidia malezi ya madogo siwezi kumgusa katu. Yule ni sehemu ya familia yangu, ingekuwa hivyo mbona zamani sanaaa...
Achana na mimi🤣Mimi nilitaka nikufurahishe kwa kutumia maneno ya huyo mtu unayemuhisi 😂😂
Sikuachi 🤣🤣🤣Achana na mimi🤣
Mie mzee wa hovyo, si unajua..halafu mtaalam wa loose balls..we endelea tu!🤪Sikuachi 🤣🤣🤣