alaksh natena
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 462
- 523
Kichwa cha habari hapo juu chahusika.
Mimi ni mzazi ambaye watoto wangu kadhaa wanasoma shule tajwa iliyopo jijini Mwanza.
Kwa huzuni kubwa naandika ujumbe huu kulaumu uongozi wa ThaqaafseSec kwa uzembe ambao umekuwa ukitokea mara kwa mara watoto wakiumwa nyakati za usiku kwa wale wa bweni huwa hawapewi ruhusa kwa kudhaniwa kuwa wanakwenda zurura.
Hii hata mimi ilinitokea kwa mwanangu last year; alipozidiwa ndipo wakampeleka Hosp yao ya Al ijumaa, tena jirani kabisa na shule nami nikapigiwa simu mida mibovu ilinibidi kufika hosp na kulala na tiba hakupata kwa wakati, wanadai bima nikawaambia anayo hawakunielewa nikahamisha mtt kwenda hospitali nyingine asubuhi yake.
Juzi mtoto wa F4 kafariki kizembe kwa kunyimwa ruhusa na mkuu wa shule Madam Opiyo mpaka kijana akazidiwa kumpeleka hosp ikawa too late leo amezikwa kwao Jijini Mwanza.
Nitoe rai kwa Mzee Magongo, kamati ya shule, bodi ya shule kufanya tathmini mapema Sana Opiyo & others watatuulia wanetu shule siyo jela na kutupandishia ada bila taarifa mkome mnaanza utapeli, walimu kila leo wanaacha kazi kwa kutolipwa mishahara Ada zetu mnapeleka wapi?
Opiyo kazi yake uchawi na wanga tu kwa watoto wetu na kuoga mlangoni mwa ofisi ya meneja Mzee Magongo wakati kitaaluma shule inashuka Bora angebaki Sekitya Yule mganda shule ilikuwa Bomba kitaaluma hili mzee Magongo aliangalie Ila mwakani nahamisha wanangu full stop.
Nina hasira zangu na msiba wa mwanafunzi mniache.
CC Mkuu wa Wilaya Nyamagana
DSEO Nyamagana
KUU Nyamagana
RC Mwanza aione kwa jalada