Kufariki kwa mwanafunzi wa Kidato cha Nne Thaqaafa Sec Mwanza usiku wa kuamkia tarehe 20/03/2022, uzembe wa shule hii umulikwe

alaksh natena

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2017
Posts
462
Reaction score
523
Kichwa cha habari hapo juu chahusika.
Mimi ni mzazi ambaye watoto wangu kadhaa wanasoma shule tajwa iliyopo jijini Mwanza.

Kwa huzuni kubwa naandika ujumbe huu kulaumu uongozi wa ThaqaafseSec kwa uzembe ambao umekuwa ukitokea mara kwa mara watoto wakiumwa nyakati za usiku kwa wale wa bweni huwa hawapewi ruhusa kwa kudhaniwa kuwa wanakwenda zurura.

Hii hata mimi ilinitokea kwa mwanangu last year; alipozidiwa ndipo wakampeleka Hosp yao ya Al ijumaa, tena jirani kabisa na shule nami nikapigiwa simu mida mibovu ilinibidi kufika hosp na kulala na tiba hakupata kwa wakati, wanadai bima nikawaambia anayo hawakunielewa nikahamisha mtt kwenda hospitali nyingine asubuhi yake.

Juzi mtoto wa F4 kafariki kizembe kwa kunyimwa ruhusa na mkuu wa shule Madam Opiyo mpaka kijana akazidiwa kumpeleka hosp ikawa too late leo amezikwa kwao Jijini Mwanza.

Nitoe rai kwa Mzee Magongo, kamati ya shule, bodi ya shule kufanya tathmini mapema Sana Opiyo & others watatuulia wanetu shule siyo jela na kutupandishia ada bila taarifa mkome mnaanza utapeli, walimu kila leo wanaacha kazi kwa kutolipwa mishahara Ada zetu mnapeleka wapi?

Opiyo kazi yake uchawi na wanga tu kwa watoto wetu na kuoga mlangoni mwa ofisi ya meneja Mzee Magongo wakati kitaaluma shule inashuka Bora angebaki Sekitya Yule mganda shule ilikuwa Bomba kitaaluma hili mzee Magongo aliangalie Ila mwakani nahamisha wanangu full stop.

Nina hasira zangu na msiba wa mwanafunzi mniache.

CC Mkuu wa Wilaya Nyamagana
DSEO Nyamagana
KUU Nyamagana
RC Mwanza aione kwa jalada
 
Hiyo shule inalalamikiwa tangu miaka ya 2000 miaka 22 mbele bado shida tu na mnapeleka watoto .. SI mpeleke kwengine ... Wakipata wanafunzi 10 form one watatia akili ondoeni watoto Hapo ....
Hilo ndo la msingi mkuu
 
Natamani kusikia kutoka kwa Thaqaafa wenyewe wanasemaje.
 
Hiyo shule inalalamikiwa tangu miaka ya 2000 miaka 22 mbele bado shida tu na mnapeleka watoto .. SI mpeleke kwengine ... Wakipata wanafunzi 10 form one watatia akili ondoeni watoto Hapo ....
Shule ile huwa inatetereka Ila huwa haianguki, nadhani Tu miundombinu japo nilisikia miaka hii haifaulishi sana kama miaka ya nyuma
 
Kuna kujisahau ... Miundombinu wako vizuri ila ufaulu naona umepungua sana.
 
Kichwa cha habari hapo juu chahusika.
Mimi ni mzazi ambaye watoto wangu kadhaa wanasoma shule tajwa iliyopo jijini Mwanza.

Kwa huzuni kubwa naandika ujumbe huu kulaumu uongozi wa ThaqaafseSec kwa uzembe ambao umekuwa ukitokea mara kwa mara watoto wakiumwa nyakati za usiku kwa wale wa bweni huwa hawapewi ruhusa kwa kudhaniwa kuwa wanakwenda zurura.

Hii hata mimi ilinitokea kwa mwanangu last year; alipozidiwa ndipo wakampeleka Hosp yao ya Al ijumaa, tena jirani kabisa na shule nami nikapigiwa simu mida mibovu ilinibidi kufika hosp na kulala na tiba hakupata kwa wakati, wanadai bima nikawaambia anayo hawakunielewa nikahamisha mtt kwenda hospitali nyingine asubuhi yake.

Juzi mtoto wa F4 kafariki kizembe kwa kunyimwa ruhusa na mkuu wa shule Madam Opiyo mpaka kijana akazidiwa kumpeleka hosp ikawa too late leo amezikwa kwao Jijini Mwanza.

Nitoe rai kwa Mzee Magongo, kamati ya shule, bodi ya shule kufanya tathmini mapema Sana Opiyo & others watatuulia wanetu shule siyo jela na kutupandishia ada bila taarifa mkome mnaanza utapeli,
Nina hasira zangu na msiba wa mwanafunzi mniache.

CC Mkuu wa Wilaya Nyamagana
DSEO Nyamagana
KUU Nyamagana
RC Mwanza aione kwa jalada
Kweli una hasira, Poleni sana, nakazia uongozi uwahibike kwenye kifo cha mtoto kilichotokea
 
Ingekuwa vyema kuanzia mkuu wa shule, mwalimu wa taaluma..pamoja na matroni / patroni wawe ndani...ili waisaidie polisi isijekuwa mwanafunzi alipewa sumu..
 
Hiyo shule inalalamikiwa tangu miaka ya 2000 miaka 22 mbele bado shida tu na mnapeleka watoto .. SI mpeleke kwengine ... Wakipata wanafunzi 10 form one watatia akili ondoeni watoto Hapo ....
Halafu siku hizi wameshuka sana hata kwenye matokeo dawa ni kutopoleka watoto tu, halafu hii shule iko mjini kabisa kutoka thaqafa hadi seketure ni dk 10 tu, kwenda Mwanza hospital dk 5, Uhuru hospital dk 10, mtoto anakufaje bwenini?
 
Back
Top Bottom