Kufeli kwa mtoto wa kigogo kulivyobadili namna ya kutangaza Matokeo ya NECTA

Alienda marekani saiv ana masters ni bosi kwenye kampuni flani kubwa,anawaajiri wale walipiga one kali
 
Yeah nilikuwa form 2 ila nimekosea yule aliyepiga 4 feza sio wa 2016 ni wa 2010[emoji16] nimejichanganya
Huu ni uongo ,matokeo ya mwaka 2008 yalikuja hayana majina bali number za mitihani hivyo si kweli kwamba kutoandika majina kulisababishwa na mtoto wa kigogo aliyefeli 2010
 
Siyo mzizima ni feza girls, four pekee kuwahi kutokea pale
 
Kwasasa atakuwa majuu anakula pension ya faza
 
Kulitokea la kutokea binti wa Rais kipindi hicho 2005-2015. Alifail peke yake darasa zima Div IV 27 shule maarufu hapo Mzizima.
Usishangae alipata division kubwa kuliko wote (5) ila wakaamua wamuwekee hiyo 4 wasionekane wameshindwa kutunga paper
 
Msiwe na dhana mbovu, kuwa ukifeli masomo darasani ndio umefeli maisha.

Wanyalukolo wengi Kariakoo hata zero ya kidato cha 4 hawana, lakini wanaweza kukuajiri na div 1 yako ya six.
Kuna mfanyabiashara kkoo ana 1 ya 13 o level 1 ya 6 egm first class chuo anaingiza mil 13 daily usikariri kwamba kila toto linalofaulu darasani linaajiriwa fala ww fungua ubongo upate exposure
 
Kuna mfanyabiashara kkoo ana 1 ya 13 o level 1 ya 6 egm first class chuo anaingiza mil 13 daily usikariri kwamba kila toto linalofaulu darasani linaajiriwa fala ww fungua ubongo upate exposure
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mliofauli mpo wapi? Kati yenu na yeye nani anaisoma namba?

Matokeo yalipaswa kutolewa kwa namba miaka yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…