Kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II, je tunaweza kufungua codes za kifo cha Princess Diana?

Kwenye ubora wako mkuu
 
Mkuu tulia nyumbani, jina lako tunalipitia kwenye ile nafasi, muda wowote Shaka atataja majina muende mjengoni kuomba kura za wabunge.

Huu ni muda wa kupambana na fitina za ndani na kujipitishapitisha.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahaha... hapo kwenye utakwenda kuifanyia nini Tanzania. Naona tu asali ikilambwa.
 
Kile kifo cha kina Diana hakikua ajali ya kawaida. Kumbuka karibu watu wote waliokishuhudia sasa hivi ni marehemu, MI6 ilikua kazini. Kutokana na Mohamed Al Fayed kua karibu sana na viongozi wengi wa serikali ya uingereza kuna kipindi alitaka kumwaga mboga kuhusu kifo cha mtoto wake ila alionywa akijaribu kufanya hivyo ndio umasikini utakua umemtembelea. Marehemu Adnan Khashoggi na Mohamed Al Fayed walikua ni mtu na shemeji yake maana mke wa kwanza wa Mohamed Al Fayed ambae alikua mama mzazi wa Doddy Al Fayed akiitwa Samira alikua ni mdogo wake Khashoggi. Ukaribu wao na circle nzima ya serikali ya Uingereza ulikua mkubwa sana kwa hio siri nyingi walikua wanazijua. Al Fayed aliahidi angeiuza story yote ya ile ajali lakini baada kubanwa kuhusu biashara zake alikaa kimya mpaka hii leo hasikiki kabisa. Adnan Khashoggi alifariki kwenye mjengo wake hapo London kwa kifo cha utatanishi sana na mke wake wa kwanza aliolewa na aliekua waziri wa ulinzi wa serikali ya Waziri mkuu- John Major akiitwa Jonathan Aitken ambae nae alisingiziwa kesi akafungwa jela sijui kama alitoka au vipi, kama alitoka atakua yupo low profile. Kuna jamaa mwingine mpakistan aliwahi kua mpenzi wa Diana aliitwa Dr. Hasnat Khan aliweza kumpeleka Diana hadi Pakistan kuonana na familia yake lakini waliachana ndio akaibuka Doddy Al Fayed waliokuja kufa nae kwenye ajali ile ya Alma tunnel pale Paris... connection.
 
Kukaa kimya nalo pia ni jibu.......unapenda sifa sana mkuu wewe ni muhaya?
 
Upate fedha utie miguu huko tutapenda updates za mara kwa mara za mwana jf mwenzetu. Be the first to know
 
Nikajua nyege zinatupeleka vibaya siku hz,kumbe toka kitambo huko watu wanafanya ya hovyo pamoja na kuwa na nyazifa zao kubwa.

Kuna wakati huwa naamini kunyanduana sio dhambi ni baraka haijarishi unanyanduana na nani ukiachana na wazazi wako au ndugu zako wa damu
 
Jibu la mitego mitego.

Kamila alikuwa nyumba ndogo tokea hukooo
 
Ilikuwa ni ajali. Kwa speed ile ya benz ilikuwa ni ngumu kupona. Na mind you that Diana hakufa palepale. Diana alifia hospitalini.
Kumbuka Diana kipindi kile alikuwa ndo star anaeuza vichwa vya magazeti kuliko binadamu yeyote yule. Picha yake iliuzwa kwa bei ghali sana kwenye vyombo vya habari. Diana alifuatwa na mapaparazi kila alipokuwa. Ile ilikuwa ni ajali though ni kweli familia ya kifalme haikufurahia mahusiano yake na Dod. Na pia walikuwa wanaona wivu Diana kuwa popular hata kuliko Malkia Elizabeth.
 
ok ok ilikua ajali..ungekua unajua ujasusi ungeelewa. kuna visa vingi vinatokea ila kwa watu wa kawaida kama wewe utaona ni ajali. ..Yes ilikua ajali Ok.
 
Nasikia ile kofia ina diamond ya thaman ya £usd tril 400 usd.ambayo hutumika ku coronateion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…