Kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II, je tunaweza kufungua codes za kifo cha Princess Diana?

Yap in kweli hata malikia aliolewa na binamu yake...
 
Kuna tetesi zingine kuwa Diana alizikwa eneo la makaburi wanakozikwa mbwa wakifa wa wafalme na malkia wa Uingereza

Hilo vipi?
 
Nasikia ile kofia ina diamond ya thaman ya £usd tril 400 usd.ambayo hutumika ku coronateion
Yes sio kofia ni crown ya Qeen, ina the biggest diamond na ilitoka Mwadui, Williamson ndio mtu wa kwanza kumpenda Eliza, akataka kumzawadia hiyo Diamond, kufuatia tetesi za Eliza kumpenda Williamson, familia ilikataa asiolewe na William kwasababu hana damu ya kifalme, ndipo Williamsom akawapa bure diamond hiyo Debiers wa SA, nao wakaitoa bure kwa Queen ili isijulikane imetolewa na Williamson, hivyo haikuthaminishwa hadi leo!. Eliza akaozeshwa kwa Philip kwenye arranged marriages kama Chale na Diana.
Diamond hiyo haina thamani kwa lengo la kuifanya ni priceless, imeingizwa kwenye vito wa wakfu wa royal family haivuzwi!.
P
 
LONDON - Princess Diana is buried on land used for years as a pet cemetery and known to the staff at her childhood home as "Dog Island," a former housekeeper for her family said in an article published on Monday. The leafy Oval Island at Althorp, the Spencer family's rural estate, was used as a place to bury hunting dogs that belonged to Diana's grandfather Jack, Maudie Pendrey told The Mirror tabloid. "I cannot believe Earl Spencer could be so heartless as to bury his sister in a dog burial ground," she told The Mirror. "It is a desecration."
 
Williamson halafu nchi hii masikini kweli ?????
 
ok ok ilikua ajali..ungekua unajua ujasusi ungeelewa. kuna visa vingi vinatokea ila kwa watu wa kawaida kama wewe utaona ni ajali. ..Yes ilikua ajali Ok.
Dereva alikuwa kalewa. Anaingia kwenye tunnel kwa speed ya 110km/h. Kwenye ule tunnel unatakiwa uingie kwa 30km/h na uendeshe kwa speed hiyo mpaka utoke kwenye hiyo tunnel ya 200m.Wakati gari inatolewa meter ilisoma 196km/h. Walioshuhudia wanasema gari iliendeshwa between 145km/h-196km/hr. Diana na Dod walikuwa hawajafunga mikanda. Aliefunga mkanda ni yule mlinzi wao na alipona.Hakuna cha ujasusi. Unataka kusema dereva alipewa hela ili asababishe ajali na yeye afe humo humo ?Yaani kwa jinsi Diana alivyokuwa anafuatiliwa na paparazi kipindi kile,ile ilikuwa ni ajali tu.
 
Dodi ni mmisri sio muhindi
 
Connection. Connection connection
Hivi familia ya Mama yetu Samia inaishi hapa Dar au Zanzibar
 
Siioni mantiki ya post YAKO, vyema usingepost tu. Story ya princess diana iko viral google tangu kitambo tu.
 
Siioni mantiki ya post YAKO, vyema usingepost tu.
Duh, jf tumefika stage ya kupangiana cha ku post?. Jf tuna freedom ku post chochote hata utumbo, the owner of nini kina mantiki na nini hakina, ni copyright ya posters na sio readers. Ila pia naheshimu your freedom to comment chochote kuhusu post yoyote ila tusipangiane cha kuandika.
P
 
Stress zinafanya baadhi yetu wamegeuka vichaa, naonaga Facebook Maulid Kitenge akipost photo zake yupo ulaya hizi kenge huwa zinamwagiga mapovu chuki, hasira na roho mbaya.
 
[emoji1] tozo hizo zimewavuruga watu we mzee wa drive in maghorofani

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…