Mimi namuona fala huyo Diamond, wapuuzi kama nyie ndio anakushikeni akili.Ata Kanye West walimuona fala, baadae Forbes wenyewe wakaufyata wakamtangaza bilionea, hawa Forbes kuna mda hawana Data, lazima muhusika aseme
CHAIIIIIIIraq wakati wa saddam hussein mtoto wake aliitwa Uday alikuwa anachukua washkaji zake anawafungulia ACC ulaya kwa majina yao ila pesa ni ya Uday
Yes anayo haki kulalamika ntakupa mifano michache kuhusu Forbes na GrammyMambo si mambo huko Instagram , Mega star wa Bongo fleva , Diamond Platnumz amemwaga Povu zito Kwa FORBES , jarida linalohusika na kutoa takwimu za ukwasi wa watu maarufu duniani , Kwa kutofanya utafti wa kutosha kuhusu Mali zake ....
Kufuatia post hyo mastaa mbali mbali wametia Nebo huku nguli wa Mziki Africa na mmiliki wa label kubwa zaidi Africa Don Jazzy akisupport ujumbe huo
Kama hyo haitoshi nyota wa mpira Africa Didier Drogba naye hakurudi nyuma kuonyesha kuwa FORBES waache kukadria .....
View attachment 1789850
Kumbe umeamua,mimi nilifikiri labda unazo hoja, basi sawaMimi namuona fala huyo Diamond, wapuuzi kama nyie ndio anakushikeni akili.
unabishana na rafiki zake na bodyguards wake ? wao ndio walisema hayo walipoojiwa, ingia mtandaoni usome, kwenye nyumba ya uday yalikutwa ma roli yamejaa USD, na moja ya final acts alizofanya saddam ni kuagiza zaidi ya usd 5 billion zitolewe bank kuu ya iraq, baadae zilikutwa zimetelekezwaCHAIIIIII
Umewahi hata kuona TZS Mil 500 Cash?unabishana na rafiki zake na bodyguards wake ? wao ndio walisema hayo walipoojiwa, ingia mtandaoni usome, kwenye nyumba ya uday yalikutwa ma roli yamejaa USD, na moja ya final acts alizofanya saddam ni kuagiza zaidi ya usd 5 billion zitolewe bank kuu ya iraq, baadae zilikutwa zimetelekezwa
wewe una tatizo kubwa sana ngoja nikuache, mimi nasema nimeziona picha za hizo pesa mtandaoni miaka mingi iliyopita alafu wewe unaniuliza TSH wakati mimi naongelea USD,naishia hapa kuzungumza na wewe,member wakija watanisaidia kukuelewesha nilichoandika hapo juuUmewahi hata kuona TZS Mil 500 Cash?
Umewahi kuona angalau USD 1M?
Hakuna Raia nje ya Marekani atakuwa na CASH USD ajaze kwenye LORRY. Ukisikia Myth story ndio hizo.
Kwa jinsi unavyojenga hoja bila kufikiri nikiri waza sasa cheo cha POPOMA ni rasmi unavalishwa wewe.
Umewahi hata kuona TZS Mil 500 Cash?
Umewahi kuona angalau USD 1M?
Hakuna Raia nje ya Marekani atakuwa na CASH USD ajaze kwenye LORRY. Ukisikia Myth story ndio hizo.
Kwa jinsi unavyojenga hoja bila kufikiri nikiri waza sasa cheo cha POPOMA ni rasmi unavalishwa wewe.
I'm Naseeb fan kabiiisa kabisa.Kitu pekee diamond anataka ni kuwa juu ya akina davido hizo mambo zingine ni kumtetea tu anachotakiwa apambane
Kama una milioni 100 watu wakasema una milioni 50 haimaanishi kwamba zile hamsini zingine hazipo,Mimi naamini Akon ana zaidi ya kile walichoandika Forbes juzi lkn watu wapo kimya hata davido na wenzie watakuwa zaidi ya walichoandika Forbes...jamaa anataka aongelewe tu(KIKI)ndo maana kazua haya yote
Drogba na Don jazz kusaport tweet ya diamond wala si kwamba wao wanajua how rich diamond is hata mkali wenu huko nae anaandamana...kama diamond anataka Forbes wa value thamani yake zaidi ya pale ili brand yake ipande thamani basi hata huko Google alisema watu waende wakacheki utajiri wake hakuna cha maana kikubwa itabidi afanye editing upya taarifa zake...
Nimekuelewa kama mpunga upo namba ziongee sio kutia hurumaNchi hii kuna matajiri mazee siyo takataka zenye kelele nyiingi.
Hawa hapa ulishawahi kuwaona hata kwenye TV [emoji116][emoji116][emoji116]
Yaani watu walishtuka baada ya kununua million of shares za SafariCon Kenya.
Umewahi hata kuona TZS Mil 500 Cash?
Umewahi kuona angalau USD 1M?
Hakuna Raia nje ya Marekani atakuwa na CASH USD ajaze kwenye LORRY. Ukisikia Myth story ndio hizo.
Kwa jinsi unavyojenga hoja bila kufikiri nikiri waza sasa cheo cha POPOMA ni rasmi unavalishwa wewe.
Kama una hela hiyo mikataba unaomba au unaweka mpunga, tusijazane ujinga mwenye hela inamfuata halazimishi kuonekana anazo. Yaani mtu analilia aonekane ana hela ili apate endorsement unamuita ana hela[emoji3064][emoji3064]Mwenzake anaangalia kibiashara zaidi hizo thamani walizopewa na forbes ndio zinadetermine mikataba watakaoingia na makampuni na ndio maana diamond hii issue ameikomalia na ukuangalia wasanii wengi wa nje wamemsapoti ila sisi tunalichulia kama vile analazimisha aonekane tajiri Sana.
Ununue simu sasa uache kutumia tecno kama sisi makapuku.Mi namiliki milioni 100, ila najiona kapuku sana[emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Umewahi hata kuona TZS Mil 500 Cash?
Umewahi kuona angalau USD 1M?
Hakuna Raia nje ya Marekani atakuwa na CASH USD ajaze kwenye LORRY. Ukisikia Myth story ndio hizo.
Kwa jinsi unavyojenga hoja bila kufikiri nikiri waza sasa cheo cha POPOMA ni rasmi unavalishwa wewe.
Sisi tumekuelewa.Watu kwa kukosa uelewa wa biashara, pia wanashindwa kumwelewa Diamond kwa kumuona ana-force aonekane nae ni tajiri!!!
Hizi Forbes list zina-determine thamani ya mikataba ijayo anayoweza kuingia!!!
Kama Forbes wanasema utajiri wako, mathalani ni US$ 5 Million, maana yake kampuni ikitaka kuja kufanya kazi na wewe inajua kabisa kwamba thamani yako ni US$ 5 Million, kwahiyo hata mkataba wa US$ 200,000 utakuwa unaendana na thamani yako (ya USD 200K)!!
Kinyume chake, iwe kweli au si kweli lakini kwenye Forbes list unatokea ukiwa na "utajiri" wa US$ 50 Million... hapa hata zile kampuni zinazotaka kufanya biashara na wewe HAZIWEZI tena kufikiria kukupa mkataba wa US$ 200, 000 kwa sababu wanaamini, as per Forbes, una thamani ya millions of dollars!!!
Ni kutokana na hilo, ndo maana Wajanja kama DonJazz unakuta wanamuunga mkono Diamond kwa sababu wanafahamu hizi Forbes list zina-determine future yako!!!
Akina sie tusiejua mambo kama haya tunadhani jamaa ana-force kuonekana tajiri kumbe it's all about business!!!
We unaongelea musicWe na huyo jamaa uliyem-quote wote akili zenu zipo kushoto .....!!! Hapa ni pesa katika music industry mkuu.....!!! Sio wauza mahindi au dhahabu