Dionize N
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,848
- 3,293
Unalilia kuwekwa kwenye list ya Matajiri wakati hata unapoishi umepanga? Sasa Forbes waende wakagoogle nini sasa, source ipi ya maana wataikuta inaelezea utajiri wake.
Kwanza wale hawafanyi kazi kwa ku google wanafanya research juu ya utajiri wa mtu wanakuangalia una Assets zipi na vyanzo vyako vya mapato. Halafu kama kweli unao utajiri huo povu la nini sasa mbona akina Bhakresa kimya tu