Huna akili,huo ulinzi wote kwamba na wengine tushindwe kufanya shuhuri zetu kisa siasa zenu
 
Halafu unaweza kukuta wewe ni graduate!
Aibu naona mimi
 
Huna akili, wenzako Wana akili!!

Wameshapiga mluzi Ili wasikike Kimataifa.

Wanatengeneza kitu ili Serikali ikatae then ionekane ni kweli Kuna jambo baya.

Huna akili wewe
 
Kwenye hii nchi hakuna kitu kinaitwa jeshi la polisi wala usalama wa taifa …… WOTE NI WANA CCM WALIO BADILISHANA MAVAZI , leo ata vaa vazzi la jeshi, kesho ata vaa vazi la polisi, siku nyingine ata vaa vazi la jaji mkuuu, siku nyingine atavaa vazi la spika wa bunge, siku nyingine ata vaa vazi la mwanasheria mkuuu , popote utakapo enda ndani ya hii nchi zingatia haya utanishukuru badaye
 
Una ushahidi
 
Acha udaku tulia uandike vizuri ukinzi ndo nini sasa
 
Vyombo vya ukinzi huwa vinakazi gani ndugu?
 
aisee chadema ni kidume kwelikweli yaani ccm imefikishwa kileleni bila ya kutumia vumbi la kongo
 

Sasa uweke mapolisi Dar nzima chadema wana bunduki? Akili hizi za uvccm?
 
Vyombo vya usalama navijua ila hivyo vya ukinzi ndio sijajua ni vipi hivyo
 
Kuna chama fulani isingekuwa jeshi la polisi tungekuwa tulishakisahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…