#COVID19 Kufuatia Umuhimu wa Chanjo Kwa Baadhi ya Kada, Kuna Haja ya Kuanzisha Hiyari ya Lazima, Watu Wachanje Kwa Lazima au Tuendelee Kubembelezania Hiyari?

Kinga isiyokinga ni mtihani mkubwa sana kuelewesha kwa Watu.

Hoja ya kwamba ukipata chanjo hata ukipata covid huumwi sana bado ni hoja isiyoniingia sana akilini, kwani bado wapo wanaopata maambukizi na kupata madhara madogo au hata wasionyeshe dalili yoyote ili hali hawajachanjwa.
Kweli kabisaa!
Nina ndugu jamaa na majirani waliochanjwa, hawa wameuguua balaah!
Mie niliyewatembelea Kuwajulia nipo fiti, nilitafuna malimao na matangawizi na maganda yake niko fresh ati!
 
Ndugu Pascal Mayalla , hebu tumjibu huyu jamaa kwanza hapa chini 👇🏿.
Kabla ya kuandika haya uliyoyaandika kuna maswali kama journalist ulipaswa kujiuliza.

1. Huko tunapoita kwa wenzetu wamefanikiwa kuondoa tatizo?.

2. Je , tangia wameanza kuchanja kwa zaidi ya asilimia 80 ya watu wao tatizo limeongezeka au limepungua ?

3. Je, tunachanja as a matter of fashion au tunachanja kukabiliana na tatizo ambalo data zote zinaonyesha chanjo zimeshindwa kulikabili?

4. Vipi kuhusu utaratibu wa boosters , tutawamambiaje watu kurudia kuchanja kwa mara ya pili wakati wenzetu waliochanja kwa lazima na boosters juu bado imeshindikana?

5. Tafiti zinaonyesha jamii ya watu weusi hataa huko US ndio wamechanjwa kwa uchache wengi wakipinga hiyo chanjo, vipi kuhusu Tz yenye majority weusi , unategemea watakubali kirahisi tu!?
 
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" mada ya leo ni kuhusu chanjo ya Corona.

Kufuatia Umuhimu wa Chanjo Kwa baadhi ya kada, japo chanjo ni hiyari, na ukweli ni kwamba mwitikio wa kuchanja kwa hiyari bado ni mwitikio duni, Ili kuliokoa taifa kwa zile kada muhimu na kada hatarishi, jee kuna kuna umuhimu sasa na sisi Tanzania kuanzisha hiyari ya lazima kwa baadhi ya kada hatarishi kuambukizika kwa urahisi na zile kada muhimu, au tuendelee tuu na uhamasishaji wa kubembelezania chanjo ni hiyari?.
Nisikilize hapa

Baadhi ya nchi za wenzetu wamefanya chanjo ni hiyari ya lazima kwa baadhi ya kada, mfano majeshi, polisi, public workers, ni lazima wachanje, asiyetaka aachie ngazi au kufukuzwa kazi.

Hivi sisi Tanzania, kama kweli tuko serious na chanjo, kuna ubaya wowote nasi tukaanzisha hiyari ya lazima?.
Paskali.
Ulichokiandika we mwenyewe umekielewa?
Hihiyari ya lazima ndo nini?
Unaongea sbb huna watu wanaokuhusu kwenye hizo kada si ndio?

Yaani kuna watu hopeless mpk leo bado hamjajifunza kitu kwa habari ya chanjo?
Haya kwa faida yako fuatilia kinachoendelea kwenye hizo nchi ambako ndo chanjo zimetengenezwa!
 
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" mada ya leo ni kuhusu chanjo ya Corona.

Kufuatia Umuhimu wa Chanjo Kwa baadhi ya kada, japo chanjo ni hiyari, na ukweli ni kwamba mwitikio wa kuchanja kwa hiyari bado ni mwitikio duni, Ili kuliokoa taifa kwa zile kada muhimu na kada hatarishi, jee kuna kuna umuhimu sasa na sisi Tanzania kuanzisha hiyari ya lazima kwa baadhi ya kada hatarishi kuambukizika kwa urahisi na zile kada muhimu, au tuendelee tuu na uhamasishaji wa kubembelezania chanjo ni hiyari?.
Nisikilize hapa

Baadhi ya nchi za wenzetu wamefanya chanjo ni hiyari ya lazima kwa baadhi ya kada, mfano majeshi, polisi, public workers, ni lazima wachanje, asiyetaka aachie ngazi au kufukuzwa kazi.

Hivi sisi Tanzania, kama kweli tuko serious na chanjo, kuna ubaya wowote nasi tukaanzisha hiyari ya lazima?.
Paskali.
Mh. Rais kasema chanjo ni hiari ila wewe unasema hiari ya lazima, kwahiyo unaenda kinyume na kauli ya Rais hivyo umeendelea kupoteza sifa ya kuteuliwa hata ubalozi wa nyumba 10.
Paschal wewe ni mfamaji tu.
 
Kwa mara ya kwanza pascol Mayala umeandika ujinga ambao sijawahi kufikiria kama unao kichwani mwako

Vipi na wewe umepokea gawio au unaongea tu !!?
Wenzako wanaopigia kampeni chanjo wana gawio, huo ndiyo ndiyo ukweli japo hauwekwi wazi sisi wengine mpaka ushahidi tunao.

Sasa wewe pascol au ndiyo kutafuta uteuzi !!!?

Kama huna bahati ya kuteuliwa huna tu utulie,
Huenda Mungu atamwinua hata mwanao kwa ajiri yako, usijichafue ndugu yangu

UKITAKA WATANZANIA UWAFAHAMU VIZURI LAZIMISHA CHANJO.

OVA.
 
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" mada ya leo ni kuhusu chanjo ya Corona.

Kufuatia Umuhimu wa Chanjo Kwa baadhi ya kada, japo chanjo ni hiyari, na ukweli ni kwamba mwitikio wa kuchanja kwa hiyari bado ni mwitikio duni, Ili kuliokoa taifa kwa zile kada muhimu na kada hatarishi, jee kuna kuna umuhimu sasa na sisi Tanzania kuanzisha hiyari ya lazima kwa baadhi ya kada hatarishi kuambukizika kwa urahisi na zile kada muhimu, au tuendelee tuu na uhamasishaji wa kubembelezania chanjo ni hiyari?.
Nisikilize hapa

Baadhi ya nchi za wenzetu wamefanya chanjo ni hiyari ya lazima kwa baadhi ya kada, mfano majeshi, polisi, public workers, ni lazima wachanje, asiyetaka aachie ngazi au kufukuzwa kazi.

Hivi sisi Tanzania, kama kweli tuko serious na chanjo, kuna ubaya wowote nasi tukaanzisha hiyari ya lazima?.
Paskali.

Mkuu suala la chanjo ni hiyari lakini... kuna safari za nje ya nchi kwenda ni vigumu bila kuchanja.
Mimi almanusura nikose safari muhimu ya Ufarasa kwa kumisplace cheti changu cha uthibitisho wa chanjo!!
 
Chanjo ni igizo lililoshindwa na kulegea
Nimeshangaa sana Mayalla kupigia debe huu upuuzi wa wazungu
Siyo thanks zote anazotoa mleta mada kqa wachangiaji wa uzi wate zina maanisha thanks za ukweli kutoka moyoni mwake. Kuwa makini na thanks zake.
 
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" mada ya leo ni kuhusu chanjo ya Corona.

Kufuatia Umuhimu wa Chanjo Kwa baadhi ya kada, japo chanjo ni hiyari, na ukweli ni kwamba mwitikio wa kuchanja kwa hiyari bado ni mwitikio duni, Ili kuliokoa taifa kwa zile kada muhimu na kada hatarishi, jee kuna kuna umuhimu sasa na sisi Tanzania kuanzisha hiyari ya lazima kwa baadhi ya kada hatarishi kuambukizika kwa urahisi na zile kada muhimu, au tuendelee tuu na uhamasishaji wa kubembelezania chanjo ni hiyari?.
Nisikilize hapa

Baadhi ya nchi za wenzetu wamefanya chanjo ni hiyari ya lazima kwa baadhi ya kada, mfano majeshi, polisi, public workers, ni lazima wachanje, asiyetaka aachie ngazi au kufukuzwa kazi.

Hivi sisi Tanzania, kama kweli tuko serious na chanjo, kuna ubaya wowote nasi tukaanzisha hiyari ya lazima?.
Paskali.

Pasi umechanja au kuchanjwa tayari?
 
Paskali umekuwa wakala wa chanjo sasa?

Mkazo uwekwe zaidi kwenye tahadhari, mqana virusi vimekuwa vikibadilika badilika, chanjo nazo hivyo hivyo...
 
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" mada ya leo ni kuhusu chanjo ya Corona.

Kufuatia Umuhimu wa Chanjo Kwa baadhi ya kada, japo chanjo ni hiyari, na ukweli ni kwamba mwitikio wa kuchanja kwa hiyari bado ni mwitikio duni, Ili kuliokoa taifa kwa zile kada muhimu na kada hatarishi, jee kuna kuna umuhimu sasa na sisi Tanzania kuanzisha hiyari ya lazima kwa baadhi ya kada hatarishi kuambukizika kwa urahisi na zile kada muhimu, au tuendelee tuu na uhamasishaji wa kubembelezania chanjo ni hiyari?.
Nisikilize hapa

Baadhi ya nchi za wenzetu wamefanya chanjo ni hiyari ya lazima kwa baadhi ya kada, mfano majeshi, polisi, public workers, ni lazima wachanje, asiyetaka aachie ngazi au kufukuzwa kazi.

Hivi sisi Tanzania, kama kweli tuko serious na chanjo, kuna ubaya wowote nasi tukaanzisha hiyari ya lazima?.
Paskali.

Bwana paschali wewe kachanje kama bado hujachanjwa.Na kama bado endelea kusikilizia moyoni na hiyo ndo maana ya hiari.
Kwa sasa hoja kuu ni namna gani tunampata speaker mpya wa bunge.
Tunaendelea kusali kwa mtumishi wa Mungu Gwajima.
 
Kama inakupa garantii kwa nini mtu ahangaike na wasiochanja?
Ahangaiki kama unavyotaka kutuaminisha concern yake ni nini kifanyike ili sote tuwe salama..we kama hutaki kuchanja kimpango wako lakini itafika nyakati utakosa ku-access baadhi ya vitu/ huduma..kama ilivyokua kwa barakoa tu!
 
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" mada ya leo ni kuhusu chanjo ya Corona.

Kufuatia Umuhimu wa Chanjo Kwa baadhi ya kada, japo chanjo ni hiyari, na ukweli ni kwamba mwitikio wa kuchanja kwa hiyari bado ni mwitikio duni, Ili kuliokoa taifa kwa zile kada muhimu na kada hatarishi, jee kuna kuna umuhimu sasa na sisi Tanzania kuanzisha hiyari ya lazima kwa baadhi ya kada hatarishi kuambukizika kwa urahisi na zile kada muhimu, au tuendelee tuu na uhamasishaji wa kubembelezania chanjo ni hiyari?.
Nisikilize hapa

Baadhi ya nchi za wenzetu wamefanya chanjo ni hiyari ya lazima kwa baadhi ya kada, mfano majeshi, polisi, public workers, ni lazima wachanje, asiyetaka aachie ngazi au kufukuzwa kazi.

Hivi sisi Tanzania, kama kweli tuko serious na chanjo, kuna ubaya wowote nasi tukaanzisha hiyari ya lazima?.
Paskali.
Wenye chanjo wanawategea mseme lazima ili wakatae kuwapa bure mnunue. Chanjo ni biashara na ndio future business ya kuaminika ukiingia hutoki kamwe.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" mada ya leo ni kuhusu chanjo ya Corona.

Kufuatia Umuhimu wa Chanjo Kwa baadhi ya kada, japo chanjo ni hiyari, na ukweli ni kwamba mwitikio wa kuchanja kwa hiyari bado ni mwitikio duni, Ili kuliokoa taifa kwa zile kada muhimu na kada hatarishi, jee kuna kuna umuhimu sasa na sisi Tanzania kuanzisha hiyari ya lazima kwa baadhi ya kada hatarishi kuambukizika kwa urahisi na zile kada muhimu, au tuendelee tuu na uhamasishaji wa kubembelezania chanjo ni hiyari?.
Nisikilize hapa

Baadhi ya nchi za wenzetu wamefanya chanjo ni hiyari ya lazima kwa baadhi ya kada, mfano majeshi, polisi, public workers, ni lazima wachanje, asiyetaka aachie ngazi au kufukuzwa kazi.

Hivi sisi Tanzania, kama kweli tuko serious na chanjo, kuna ubaya wowote nasi tukaanzisha hiyari ya lazima?.
Paskali.
We nenda kachanje....kwa ...maslahi....yako na siyo....kuwashinikiza wenzako ....kwani chanjo...Ni hiyari ...umeelewa....Pascal Mayalla??
 
Chanjo ya Uviko ni hiyari yenye lazima ndani yake.

Nina uhakika hapa TZ tukichanja na kufika % flani tutaanza kuweka restrictions kwenye baadhi ya maeneo itakayopelekea kila mmoja kuchanja kwa lazima.

Ngoja tuone ila soon hadi wafuasi wa kinjekitile watasadiki.
Mangungo wa Msovero😃😃😃😃 ilimnyoosha chali.
 
Binafsi sioni any threat kwa kada hizo ulizozitaja maana hata wao wangekuwa kwenye hiyo threat nadhani menejimenti za utumishi wao wangekuwa wameshaliona hilo na wangekuwa wameshatoa miongozo kwa watumishi wa hizo sekta.

Ninaamini kwamba kila kada inachukua tahadhari kubwa wasingekaa kimya na kufumbia macho hilo tatizo au hiyo solution maana unaposema jeshi au polisi huwa ni amri tu hakunaga majibizano haya ya kiraia, wangekuwa walishaliona hilo.

Tuendelee kufanya chanjo iwe hiyari ya mtu maana hata tukisema lazima chanjo zenyewe zinakuja kwa msaada unakuta dozi laki mbili ambazo nazo hazisaidii kitu.

All in all naona bado tuna threat ndogo sana solution kubwa ni kuhimiza watu kuchukua tahadhari ikiwemo kunawa mikono, pia kuripoti watu wanaoonekana Wana dalili za hayo magonjwa ili kuepusha maambukizi zaidi.
 
Back
Top Bottom