Bambushka
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 3,952
- 7,218
Kweli kabisaa!Kinga isiyokinga ni mtihani mkubwa sana kuelewesha kwa Watu.
Hoja ya kwamba ukipata chanjo hata ukipata covid huumwi sana bado ni hoja isiyoniingia sana akilini, kwani bado wapo wanaopata maambukizi na kupata madhara madogo au hata wasionyeshe dalili yoyote ili hali hawajachanjwa.
Nina ndugu jamaa na majirani waliochanjwa, hawa wameuguua balaah!
Mie niliyewatembelea Kuwajulia nipo fiti, nilitafuna malimao na matangawizi na maganda yake niko fresh ati!