Kufuatia upungufu wa dola, BoT yatoa maelekezo ya kudhibiti Viwango Vya Miamala

Mikopo ulikuwepo,ipo na itaendelea kuwepo Toka zamani za Mwalimu.

So usijisumbue sana maana Tanzania haipo kwenye debt distress yeyote ,wanachofanya Sasa ni kujaribu kufanya mitigation mapema Ili tusije fikia kwenye Hali ya kushindwa kuagiza bidhaa
 
Ishu ya uhaba wa US 💵 imezikumba nchi nyingi za kiafrika kipindi hiki, Tanzania hatuko peke yetu kwenye hiki kikaango. Msimlaumu mwigulu kwa sababu mara nyingine ni Sera za FED ndiyo zinaathiri mataifa yenye uchumi mdogo kama wetu.
 
Program ya Huduma za Mikopo - Extended Credit Facility (ECF)

Sababu ya nchi masikini zimejikuta katika uhitaji wa kuomba Program ya Huduma za Mikopo - Extended Credit Facility (ECF) kutoka IMF - Fuko la Fedha la Kimataifa ni kuwa nchi kuwa na kiwango kidogo kinachoingia ktk mauzo yake nje kwa fedha za kigeni kulinganisha na mahitaji yake ya fedha za kigeni kufanya manunuzi na kulipa mikopo ya nje ya nchi.

Masharti, angalizo na vigezo vya kupata kilichoitwa Program ya Huduma za Mikopo kwa mujibu wa wizara ya fedha, ambayo IMF inaita ni - Extended Credit Facility (ECF) ni kama yafuatavyo:

When a country borrows from the IMF, the government agrees to adjust its economic policies to overcome the problems that led it to seek financial assistance.

These policy adjustments are conditions for IMF loans and help to ensure that the country adopts strong and effective policies.

Most IMF financing is paid out in installments and linked to demonstrable policy actions. Policy commitments can take different forms. They include:

Prior actions
These are steps a country agrees to take before the IMF approves financing or completes a review. They ensure that a program will have the necessary foundation for success.

Examples
Fiscal revenue measures
Clearance of external arrears
Governance reform
Banking sector restructuring plan


Why do IMF loans include conditions?


Conditionality helps countries solve balance of payments problems without resorting to measures that harm national or international prosperity. In addition, the measures aim to safeguard IMF resources by ensuring that the country’s finances will be strong enough to repay the loan, allowing other countries to use the resources if needed in the future. Conditionality is included in financing and non-financing IMF programs with the aim to progress towards the agreed policy goals.

Member countries that borrow from the IMF have primary responsibility for selecting, designing, and implementing policies to make their economic program successful. The program is described in a letter of intent, which typically includes a memorandum of economic and financial policies for more detailed description of the policies. The program’s objectives and policies depend on a country’s circumstances.
The overarching goal is always to restore or maintain balance of payments viability and macroeconomic stability while setting the stage for sustained, high-quality growth. For low-income countries, there is an additional objective of reducing poverty.

THE EXTENDED CREDIT FACILITY (ECF)​

ENGLISH
The Extended Credit Facility (ECF) provides medium-term financial assistance to low-income countries (LICs) with protracted balance of payments problems.
READ MORE :
Source : IMF Conditionality
 
Ni dalili kuwa Tanzania sera zetu za kiuchumi, kifedha na kibenki zinahitaji mabadiliko ili kuweza kupata Program ya Huduma za Mikopo - Extended Credit Facility (ECF) kutunasua tulipo sasa.

Je serikali yetu imejipanga vipi kuondana na masharti pia vigezo ili IMF itupatie mpango huo wa kutusaidia kwenda mbele tofauti na hali iliyopo?

Je ni mipango ngani serikali itafanya na pia athari zake pana na chanya ili nchi ikaa vizuri

Maeneo ya masharti yaliyowekwa mezani kwa mazungumzo yanaengemea katika haya huku tunaona sasa miamala kuwekewa kikomo n.k lakini masuala yenyewe ni haya yafuatayo:

Fiscal revenue measures
Clearance of external arrears
Governance reform
Banking sector restructuring plan
 
Mikopo ulikuwepo,ipo na itaendelea kuwepo Toka zamani za Mwalimu.

So usijisumbue sana maana Tanzania haipo kwenye debt distress yeyote ,wanachofanya Sasa ni kujaribu kufanya mitigation mapema Ili tusije fikia kwenye Hali ya kushindwa kuagiza bidhaa

. To maintain current fiscal and debt sustainability, in line with the IMF Extended Credit Facility (ECF) objectives, the authorities should improve revenue mobilization and public investment management, including by selecting only investment projects with clear socioeconomic payoffs

Source : United Republic of Tanzania: Staff Report for the 2023 Article IV Consultation and First Review Under the Extended Credit Facility Arrangement—Debt Sustainability Analysis
 
Hatua alichukua hayati mliona wanaonewa, eti mmewafuta machozi.. Haya endeleeni kuwafuta

Hii nchi ukicheka nao, wanacheka zaidi

Bureau nyingi zimakaa kwa utakatishaji fedha
 
Ishu ya uhaba wa US 💵 imezikumba nchi nyingi za kiafrika kipindi hiki, Tanzania hatuko peke yetu kwenye hiki kikaango. Msimlaumu mwigulu kwa sababu mara nyingine ni Sera za FED ndiyo zinaathiri mataifa yenye uchumi mdogo kama wetu.
Hizi kauli ndio zinatumika sana kutowajibika ki sawa sawa na kuficha madhaifu yetu..

Unahisi kinachosababishwa kuwa hivyo kinafanana kati ya nchi na nchi? Kwa nchi ulizo mention hapo
 
Pamoja na hatua hizo na maelezo ya Waziri Mwigulu juu ya uhaba wa dola, taifa litaweza kupata ufumbuzi wa tishio linalojitokeza kama zitabuniwa sera na kutekeleza mipango itakayoongeza maunzo ya njena kupata fedha nyingi za kigeni na wakati huo huo kudhibiti matumizi ya fedha za kigeni.

Tusipojifunga mkanda katika matumizi ya kianasa ndivyo hivyo akiba ya fedha za kigeni itazidi kupungua na kusababisha changamoto tusizotegemea. Tutafakari, tusitafute mchawi.
 
Kwa hiyo hayo maelezo Yana uhusiano gani na Madeni?
 
Sasa haya masharti Yana ubaya gani?
 
Kanuni zetu haziruhusu kujadili hoja yako!alisika Spika wa Bunge la Wadanganyika!
 
Safi sana IMF Kwa kuweka masharti ya msingi,sio kutoa pesa harafu watu wanaenda kulipana posho bila kuwajibika inavyotakikana
 
Hizi kauli ndio zinatumika sana kutowajibika ki sawa sawa na kuficha madhaifu yetu..

Unahisi kinachosababishwa kuwa hivyo kinafanana kati ya nchi na nchi? Kwa nchi ulizo mention hapo
Wanajizalilisha tu mbele ya dunia sikutegemea miaka 800, Mwigulu angeweza ongea kauli ile maamuzi ya US yana athari kwa Tanzania.

Monetary policies za US aziwezi kuwa na impact kwa nchi zingine, wao wanajikita na kupambana na inflation rate huko kwao.

FED kuongeza interest inafanya kukopa kunakuwa na gharama zaidi. Matokeo yake familia zenye floating interest kwenyr mortgage, higher purchase za magari na madeni mengine ya riba; bei ya kugharamia hayo madeni inakuwa kubwa interest rate inapopanda.

Matokeo yake kwa familia disposal income inapunguwa na kupelekea kuacha unnecessary purchases za familia. Upande wa biashara gharama za mikopo inapokuwa kubwa na kwenyewe investments zinapungua, bei ya bidhaa zinapanda, demand inapungua, na mzunguko wa hela unapungua; overtime price zinakuwa stable.

Sasa hayo mambo yanahusiana vipi na wewe na wa nchi ya tatu ambae akiba yako source yake kubwa ni mauzo ya nje unayofanya kwa dollar ambayo ni average for the most part na upungufu ni manunuzi.

Wakati huo bank kuu kwa siku ilikuwa inatoa $1 million kwa matumizi ya ndani. Ilhali kuna mijitu inapata hela za wizi kirahisi; sasa kama inafanyia biashara za nje hizo hela au inahifadhi kwa dollar imepelekea demand kuongezeka na kufanya BoT ianze kuachia $2 million mbili kwa siku. Hizo zilikuwa hatua za mwezi January; na bado supply aitoshi leo sijui imefikia kiasi gani kwa siku.

Hao watu wa IMF wamemsikiliza tu Mwigulu akijidhalilisha tu. Ndio wengine huwa tunauliza hivi hawa watu uwa wanaongea vitu gani kwenye mikutano yao na wawekezaji au wataalamu wa sector kwa sababu uelewa wao daah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…