Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Wewe ni zero brain, reserve ni $6.7 billion in October 2021 at ukitoa huo mkopo wa $600 million; bado reserve ni kubwa kushinda iliyopo leo na wakati wowote katika historia ya Tanzania.Hiyo reserves ilitokana na kuchukuliwa Kwa mikopo mipya ikiwemo mkopo.wa.uviko 19 ndivyo viliongeza hizo reserves baada ya hali kuwa mbaya kabla..
Mwendazake akusanye reserves ya hivyo aitoe wapi? Kwa jeuri gani aliyokuwa nayo?
Sukuma gang mnateseka sana 😁😁,unaelewa maana ya neno urgent financing kwanza?
View attachment 2642505
Baada hapo awajawahi kufikia tena kiwango cha $6 billion reserve, if anything imeendelea kupungua tu mpaka kufikia chini ya $5 billion.
Mwisho nikusaidie extended credit facility upewi yote kwa mkupuo ndio maana unaona IMF wapo nchini kuidhinisha awamu nyingine ya mgao katika hizo hela walizoahidiwa 2021.