Ulisafir bila kuweka nazingira saw a?Mi ya kwanza nlitoka Dar mpaka Tanga alafu nikaishia kula mate tu.Ya pili nlitoka Dar to Dom,nikapanga mpaka lodge alaf mbunye nliishia kuipapasa tu.Alidai ni mapema sana kunipa.Kweli wanaume tumeumbiwa mateso.
Nafikiri suala la wao kuwa cheap pamoja na ukuaji wa tecknolojia ndio sababu.Aisee mimi nishafuata mwanamke continent to continent....sasa hivi kibaha tu siwezi kwenda! Kweli ujana maji ya moto.
Uzito wake uko wapi???Maneni uliyatoa ni mazito.
naaam kuna point hapa ipo ila sijang'amua ni ipi haswaNafikiri suala la wao kuwa cheap pamoja na ukuaji wa tecknolojia ndio sababu.
Zamani ilikuwa ni vigumu kumpata msichana umpendae ila sikuhizi ni rahisi.
mbona unamtisha mwenzio mwache aje akishindwa nakujaUzito wake uko wapi???
Nimekwambia ukweli na hii hali ya magu usijeanza kujutia bure..
Uzito wake uko wapi???
Nimekwambia ukweli na hii hali ya magu usijeanza kujutia bure..
Uahalfcast wake ndio unaomponzakumbe nyinyi ndio nyatu nyatu
kwahiyo hata kiss hukupewaUchi wa mwanamke haujawahi kumwacha mtu salama.
Mimi imeshanitokea mara nyingi tu ila nakumbuka siku natoka Moshi kumfuata dem wa kikurya huko Bunda...kufika nikalala musoma mjini siku 2 kabla na nikamtumia Nauli ya kutosha ili anifuate then kumbe kuna jamaa mjeda alikuwa anamfuatilia, kisa ni wa kabila lake
dem akagoma kuja na jamaa kanichimba biti haswa kuwa watakuja na wenzake kunipasua...at last jamaa akampa ujauzito na akamwacha kaoa mtu mwingine.
Dem was a black beauty.
Mapenzi yaone tu hivi.
[emoji56] [emoji56] [emoji56] papuchi mchezombona unamtisha mwenzio mwache aje akishindwa nakuja
hehehehe ilikuwaje mkuu
[emoji23] [emoji23] una hogo au kibamiaaa[emoji41]Kujuta ni sehemu ya maisha, usiogope kujuta.
[emoji23] [emoji23] una hogo au kibamiaaa[emoji41]
[emoji39] [emoji39] [emoji26]
Sio kiss, hata kuja hakuja kabisa tulikua tunachat sana na hadi kufikia mipango ya kuja kuoana...baadae nikampotezea ila nilibaki na namba yakekwahiyo hata kiss hukupewa
We wa wapi mkuu?Mi ya kwanza nlitoka Dar mpaka Tanga alafu nikaishia kula mate tu.Ya pili nlitoka Dar to Dom,nikapanga mpaka lodge alaf mbunye nliishia kuipapasa tu.Alidai ni mapema sana kunipa.Kweli wanaume tumeumbiwa mateso.
Hapana mkuu,.. Haitakuja kutokea ... Huo udhaifu utaoutengeneza hautakua na mwisho.. Mbunye inisafirishe mpaka mkoani!.. Labda awe mtu wangu tunaefahamiana...lakini siku ya kwanza PA!.. Hapana mazeewewe usiseme hivo hujakutana na mtoto mkali RRONDO mwenzio kasafiri mabara
Nakajua hako kadem, mix ya muhindi koko na mwafrikaDah nakumbuka mwaka juzi nilisafiri kutoka Arusha to Kahama kumfuata mtt mmoja half cast,safari yenyewe ilikuwa ya misukosuko basi liliniacha nikapanda basi lingine lkn namshukuru hakuwa mwongo nilifanikiwa kuonana nae na mzigo nikakamua fresh
Sent using Jamii Forums mobile app
kashakuwa single maza na anakukumbuka alivyokutosa,msamehe tu mkuu maisha ndio hayahayaSio kiss, hata kuja hakuja kabisa tulikua tunachat sana na hadi kufikia mipango ya kuja kuoana...baadae nikampotezea ila nilibaki na namba yake
Mara nikaja kuona kwny whatsapp dp yake picha ya mtoto, akaniambia ni wakwake ila haishi na jamaa...nikampotezea mazima.