Kufunga gesi kwenye gari kunapunguza uwezo kwa 40%

Hii teknolojia kwa TZ bado Sana. Aina ya mafundi wanaofanya modification Ni changamoto Sana
 
Siyo swala la akili, Swala la kiufundi, fundi anatakiwa atoe maelekezo juu ya matumizi ya gas.

Kila anaejitambua na kuweza kuendesha majukumu yake, ana akili, ila akili hazikuwezeshi kujua kila kitu. Vingine mpaka, ufundishwe ama uelekezwe.
 
Mkuu Abdallah_Kichwaz naomba uangalie katika Surf yako kama tobo hapo nilipozungushia limezibwa au kuna pipe. Maana yangu nilikuta kuna uwazi na unatoa hewa. Fundi alinishauri kuuziba. Kwa mantiki hiyo ningenda kujua kama yako kumezibwa au ni tundu lipo wazi.

Aksante kwa msaada wako
 
Imezibwa
 
Gari yako ni ya mwaka gani na ina engine gani? Tuanzie hapo.

Mind you, hizi CNG zitakupa matokeo mazuri kwenye modern engines.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…