Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
- Thread starter
-
- #41
Hizi taarifa wafunga gesi hawatuambii. Wao wanataja faida tuGas inafanya dry combustion, which is very dangerous kwa engine life
Dangote amefungua engine karibu gari zote alizoweka mitungi ya gas
Unapoamua kutumia gas hasa hizi after market fittments at least uwe unajua na hasara ,
Wafanyabiashara huwaza faida tuHizi taarifa wafunga gesi hawatuambii. Wao wanataja faida tu
Ndio wanaharibu magariWafanyabiashara huwaza faida tu
toyota surf huwa hazina nguvu kwenye miinukoNi tahadhari tu nimetoa. Nilifunga kwenye Toyota Surf mtungi wa 10 na 5 kgs gari ikaanza kuwa nzito. Baadhi ya miinuko ikawa inapanda kwa tabu Ila nikihamia kutumia petrol gari inapata nguvu upya.
Pia Ni vizuri kujua iwapo litatokea tatizo kutokana na kuweka gesi Bima watalipa?
Acha matusi leta hoja mkuu matusi hayauzwi.Tuliza mshono
Acha wivuUkiachana na kufunga Gas kwenye Sulf, Ma sulf ni mabovu sijawahi ona sulf nzima hata itoke leo Japani
ha ha ha. cheap is expensive.Gesi Ni ujinga
pambana na FEKON, gari si level yakoGas kwenye gari ili ifanye nini?
bora umempa za uso! hiyo toyota surf ukute hafanyi service na pia fundi aliyemfungia gesi kashndwa kuseti powerMagari ya dangote yanabeba matani ya mizigo na bado yanapanda miinuko kama kawaida labda gari lako bovu ila usisingizie gesi
Aseebora umempa za uso! hiyo toyota surf ukute hafanyi service na pia fundi aliyemfungia gesi kashndwa kuseti power
Bora kubaki kwenye njia kuu (petrol/diesel)Ndo maana nikakimbilia gesi nikidhani nitapata nafuu