Kufunga gesi kwenye gari kunapunguza uwezo kwa 40%

Aisee nilitest gari juzi ya jamaa yangu Subaru amefunga gesi.

Nikweli kuna utofauti japo sio kivile sana shida ukitumia gesi gari inachelewa kuchanganya ukiiforce ukanyage gesi nyingi gari inavuma mno. Ila kwa safari za town sifikirii kama kuna shida unakimbia uende wapi kwa mfano ila petrol iache iitwe petrol.
 
Ununue Subaru 24m ukose pesa ya mafuta
 
Mbona kama unachanganya mambo, tujadili lipi kupungua kwa uwezo wa gari kwa 40% au compensation ya bima ikiwa tatizo litatokea..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…