Kufunga 'PM' ni ishara ya kuwa mchoyo na mbinafsi

Unakuta mtu ukiangalia amejiunga leo jf kisha yuko pm kwako πŸ˜…πŸ˜…huyu ata sishuhuliki nae hata kuitikia salam najua ni likongwe limekuja pm nisilijue na wengine sitaki kuwa karibu nao😬😁😁
Sasa si umjibu ili upate kumjua? Au labda akija na ID yake unamletea ukauzu sana πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…