Huyu kama una 'abc' zake angalao kiundani hebu ziweke hapa ili wahusika wapate pa kuanzia.Ni yule anayedai viganja vya mikono yake vina uwezo wa kufanya vipimo vyote vinavyofanyika hospitalini kama vile X Ray,CT Scan, MRI na Utra Sound. Analaza wagonjwa kabisa hapo kwenye kilinge chake
Uislam huo wa maustaadhi wanaofira watoto madrasa!? Au wa kuuficha uchawi kwenye kivuli cha dua!? Masheikh woote ni waganga wa kienyeji mpaka hapo ushajua yupi sahihi na yupi si sahihi, anyaways hivi mtume Mudi si ndo alioa kitoto cha miaka 9? Na quran si ndo alishushiwa mapangoni na hayo mnayoyaita majini ambayo kwenu ni ndugu zenu katika imaani!?
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Dah KMMK hv kumbe kuna watu wapumbavu hv 😂Ni yule anayedai viganja vya mikono yake vina uwezo wa kufanya vipimo vyote vinavyofanyika hospitalini kama vile X Ray,CT Scan, MRI na Utra Sound. Analaza wagonjwa kabisa hapo kwenye kilinge chake
Watusaidie wafunge na kanisa la Kitunda Nyantira kuna Nabii anajiita Uswege anasambaratisha familia za watu, anafungia watu ndani hawaruhusiwi kutoka, kusalimia ndugu mpaka aseme yeye.Mimi kwenye hayo makanisa sijawahi kanyaga hata moja.
Double standard in need.Hapana mwamposa hajafanya jambo lolote baya. Injili yake ni nzuri inaeleweka.
Mwamposa mbona pia anafanya hhaya na hakamatwi au yeye ni special?It was just a matter of time. Kiboko ya wachawi amefanya sana usanii kwa muda mrefu. Kuna mtu wangu wa karibu aliniambia jinsi huyu jamaa anavyonunua watoa ushuhuda feki kwa lengo la kuvutia biashara yake. Mpuuzi sana huyu jamaa aisee!! Sina hamu naye.
Analipa Serikali pia ni Mwanachama Hai wa CCM ingawa ni mtu wa huko Zambia ukishavuka mpaka wa Tunduma kwa mbele sio Mnyakyusa wala MsafaMwamposa mbona pia anafanya hhaya na hakamatwi au yeye ni special?
Mwamposa ni mtiifu kwa CCMMwamposa mbona pia anafanya hhaya na hakamatwi au yeye ni special?
Mungu Hana dini.Uislam ndiyo dini pekee kwa Mwenyezi mungu.
Wewe hata jina 'wakristo" huelewi limetokea wapi.
Hao wenye huruma wanakuwaje mafala sasa?Mafala hawaishi hata humu JF wamejaa kibao Wewe jifanye una shida na wakati huna shida Tunga Tunga sentensi ya uongo uongo weka bandiko JF chini weka Namba nakwambia kuna mafala kweli watakurushia Hela za miamala km hauamini kesho fanya jaribio zingatia kuweka Namba ya miamala utawapiga mafala kibao
Tulishafindishwa huruma ikizidi sana unageuzwa kua Fala, Wewe Masikini na Nwamposa nani anaestahiri kumgawia mwenzake Pesa Wewe una muhurumia Nwamposa kwa lipi kwa mfano?Hao wenye huruma wanakuwaje mafala sasa?
Sasa mfano wako ulioutoa hauendani na hao wanapeleka kwa Mwamposa. Wewe ulisema mtu ajifanye ana shida! Kwani Mwamposa alishasema ana shida?Tulishafindishwa huruma ikizidi sana unageuzwa kua Fala, Wewe Masikini na Nwamposa nani anaestahiri kumgawia mwenzake Pesa Wewe una muhurumia Nwamposa kwa lipi kwa mfano?
Kwanini anakuuzia Maji na Mafuta km Hana shida si agawe bureSasa mfano wako ulioutoa hauendani na hao wanapeleka kwa Mwamposa. Wewe ulisema mtu ajifanye ana shida! Kwani Mwamposa alishasema ana shida?