Kufungiwa kwa kanisa la “Kiboko ya Wachawi” pongezi kwa Serikali

Si huyo peke yake, serikali ichukue hatua kwa makanisa yote yanayoitwa ya KIROHO,yakiongozwa na wanaojiita Nabii,Mtume,Kuhani n.k....makanisa yote yanayohubiri uponyaji,utajiri, kufungua nyota, kutabiri n.k.
Haya yote ni janga kwa jamii na kwa Taifa pia.
 
Wapo sahihi sana.

Kiboko ya wachawi hili jina limekaa kitapeli sana na amethibitisha kwa vitendo.

Congrats kwa serikali kwa kuliona hili.
kilinge cha kiboko ya wachawi sawa kukifungia anapiga pesa kiurahisi sana. bila sababu.
 
SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeagiza kufungwa Kanisa la Christian Life Church linaloongozwa na Mchungaji Domique Kashoix Dibwe maarufu Kiboko ya Wachawi, lililopo Buza Kwa Lulenge, Temeke - Dar es Salaam baada ya kanisa hilo kwenda kinyume cha taratibu za usajili.

Barua ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kupitia Ofisi ya Msajili wa Jumuiya za Kiraia ya Julai 25, 2024 imewaelekeza Mwenyekiti wa Kanisa la Christian Life Church na Mchungaji Dominique Kashoix Dibwe kufunga tawi la Kanisa hilo linaloendeshwa na mchungaji huyo.

Miongoni mwa sababu zilizotajwa za kufungwa kwake ni kutoa mafundisho yenye kuleta taharuki katika jamii na mahubiri ambayo ni kinyume na maadili, mila, desturi na utamaduni wa Kitanzania.

Madai mengine ni kutoa mahubiri yanayodhalilisha watu madhabahuni, kutoa mahubiri chonganishi na kuhamasisha waumini wa kanisa lake kuua watu kwa dhana au tuhuma za uchawi au ushirikina.

Baada ya kusambaa taarifa kwenye mitandao ya kijamii kwamba Serikali imeagiza kufungwa Kanisa hilo, baadhi ya vitu kanisani hapo vimeondolewa
 
Kama ni hivyo basi huo ni ushenzi na Mungu hayupo katika ushenzi huo. Hiyo ni abrakadabra tu. Mambo ya imani yanakuwa na EFD mashine na kodi inachukuliwa? Hata kama kaisari anapewa chake lakini si kwa namna hiyo
 
Huyo Kiboko ya wachawi ni TAPELI wazi wazi ,yale anayofanya ni MAIGIZO ,jana ndiyo maana TImes FM hawakuweka matango pori yake na hata sasa hivi simsikii Times FM ...Nadhani TImes Fm watakuwa wame athirika sana.
 
Kama ni hivyo basi huo ni ushenzi na Mungu hayupo katika ushenzi huo. Hiyo ni abrakadabra tu. Mambo ya imani yanakuwa na EFD mashine na kodi inachukuliwa? Hata kama kaisari anapewa chake lakini si kwa namna hiyo
 
Kama ni hivyo basi huo ni ushenzi na Mungu hayupo katika ushenzi huo. Hiyo ni abrakadabra tu. Mambo ya imani yanakuwa na EFD mashine na kodi inachukuliwa? Hata kama kaisari anapewa chake lakini si kwa namna hiyo
 
Kama ni hivyo basi huo ni ushenzi na Mungu hayupo katika ushenzi huo. Hiyo ni abrakadabra tu. Mambo ya imani yanakuwa na EFD mashine na kodi inachukuliwa? Hata kama kaisari anapewa chake lakini si kwa namna hiyo
 
Wachawi huwa na nguvu sana hadi serikalini wamejaa yeyeto atakaeinuka kupambana nao kiroho wakimshindwa utumia mamlaka kummaliza mfano kina kamchape,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…