Huyo zile Sadaka zote anazilipia VAT na wale Waumini wanapewa risiti kabisa kila wakituma muamala EFD mashine IPO standby kila mtu ananunua mafuta na maji anakatiwa risiti kutoka TRA kiufupi Jamaa anaiingizia Serikali mapato Ile Siku aliyouza Udongo pale Taifa Serikali iliingiza Pesa nyingi sana TRA kwa kupitia EFD mashine kwani kila kijiko watu walilipia na risiti za EFD walipewa kwa hio Serikali kumfungia mtu km huyu mfanyabiashara mwenye mbwinu ya kucheza na akili za wasioelewa haiwezi kamwe sababu TRA inaingiza mapato mengi kupitia yeye akipiga show tu akajaza watu laki 5 TRA wanachekelea maana Pesa inaingia nyingi
Tena wamechelewa sana!! Toka jana ameibukia mikwambe kwa pinda, waambie wamfuate na huko!! Ikiwezekana wamtimue kabisa nchini!! Ile sio dini bali ni uchonganishi na utapeli tuView attachment 3053355
Serikali kweli IPO kazini Kwa kuchukua hatua ya haraka pale inapobainika mahali watu wanaenda isivyo. Kiboko ya wachawi amekuwa akimfanyia kazi ya Mungu kama kufanya uganga na ushirikina ufanyikavyo.
View attachment 3053498
Pia soma: DOKEZO - Serikali chukueni hatua za haraka dhidi ya Nabii Dominiki "Kiboko ya Wachawi"
Ukristo umekuwa ukidharirishwa sana na watu wanaojiita watumishi wa Mungu lakini wakifanya mambo ya ajabu.
Tumeeona athari za imani potofu pale watu wengi wamekuwa wakipoteza maisha. Nampongeza sana rafiki yangu na aliyekuwa CR wangu pale chuoni Mr. Emmanuel Robert, msajili wa jumuiya za kijamii Kwa kazi nzuri inayoendelea kufanya. Unamuwakilisha vema Dr. Samia
Lawrence Masha aliambiwa karogwa na mkewe.😂😂😂Kwanza niseme kwamba lile halikuwa kanisa bali pango la walaghai na wanyang'anyi.
Huyo kiboko ya wachawi alishamwambia mtuWivu tu wa ushindani na tishio la biashara ya kawe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]dahKwahiyo aliuza udongo kabisa na mkanunua na akalipa tra[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].
Na ukute ulivyokua mpumbavu wewe umenunua udongo huku una Shamba au ardhi heka 5+ unaenda kudanganywa na udongo wa upako toka wapi?
Kuna siku nimekunywa mafuta bakuli zima sijui mnaita ya upako kwa nabii mmoja maarufu tu ashafariki na yalikua mafuta ya kawaida tu ya mzeituni toka Italy.
ye kadanganya watu na wamelipa eti mafuta yaupako.yametoka kwa yesu.
Na walianguka wengi tu pale.
mi alishindwa kunidondosha
Mpaka hapa naandika sijaona mabadiliko yoyote yaliyoletwa na mafuta yale.
Huwa anapita anagawa hela barabarani kila jumapili ila kuna wiki kadhaa sijamsikia.Sasa hela za mikorogo atapata wapi?
Ile ilikuwa movie mkuu. Tayari Masha kala mpunga ili kumfanyia promo kiboko ya wachawi.Lawrence Masha aliambiwa karogwa na mkewe.😂😂😂
Huyu alitoa ushuhuda kwenye kanisa la huyu tapeli?