Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli tupu. Pia anaweza kufanya mambo mengine yatakoyoweza kumpaisha kuliko hata kama angefanya kampeni. Aitumie fursa hii vizuri mpaka hao vibaraka wa CCM wajute ni kwanini walichukuwa hatua hii.Pamoja na kuwa atakuwa hayuko majukwaani lkn mazingira ya jinsi NEC ilivyomzuia yanatosha kumpigia kampeni, sasa wananchi na jumuia za kimataifa zitaujua ukweli kuwa Tume haiko huru na inapendelea.
Muda huu apumzishe ubongo na akili na mikiki mikiki ya barabarani, afanye tathimini ya kampeni aliyoifanya, muda huu anaweza kuutumia kwa press conferences, kupitia daftari la mpiga kura, kuandaa mawakala, jinsi ya kuzuia wizi, kuandaa polling center, kutafuta pesa za kampeni, kufuatilia rufaa za wagombea, n.k.
Wapinzani walizuiwa kufanya siasa kwa miaka mitano lakini baada ya kuruhusiwa tumeona walivyobadili upepo kwa muda mfupi. Magufuli amejaza mabango kila kona ya nchi lkn faida yake haina tofauti na yule ambaye hana picha hata moja. Kwa hiyo kama wananchi hawakutaki hata ufanye kampeni peke yako hawatakuchagua.
Lissu afahamu tunatafuta Rais atakaye simamia misingi ya sheria kwa wanaoonewa na wasioonewa, hata kama ameonewa tayari wananchi wameshaona, ajishushe kwa moja ili apate mbili.
Mwisho, Mungu naye ana makusudi yake, hatuwezi kujua ndani ya hizi siku 7 kungetokea nini kibaya juu yake.
CCM huwa wanafanya mambo wakifikiri wanakomoa lkn akili huwarudi baadae sana kuwa wamekosea. Walipompiga risasi walifikiri wamemmaliza leo wanalaumiana, Bashite yuko wapi.Kila kona Lissu, hata vyombo vya habari automatically vinampigia dene bila kujua. Lissu is trending
Tatizo amejua anaepambana nae ni mtu wa jazba,Hata kwenye karate tunaelekezwa ni rahisi sana kumdunda mtu aliepanic au kupandwa na jazba.JPM kaonywa sana juu ya ujio wa LISU kuwa aachane nae kaja kumuharibia image ya kitaifa na kimataifa juu ya udikteta wake uchwara.SO HILI LA KUMFUNGIA SIKU 7 LITAMPAISHA SANA TUNDU LISU.Kuna wakati najiuliza hii mitego ya TL huwa hawaioni au wanafanya makusudi tu kumridhisha Mkuu wakati wakijua kuwa wanamtengenezea njia TL? siamini kuwa hiyo huwa ni bahati mbaya
Kuna wakati mwingine hiyo amani haina maana kama watu tunaishi kama mbwa koko kwenye nchi yetu.Ccm , chadema,NEC,ZEC ,JWTZ,POLISI TANZANIA tunawaomba Sana mtulindie amani ya nchi yetu..
AMANI YA NCHI YETU NI MUHIMU SANA KULIKO SIASA ZENU
Kwa hiyo ndivyo mlivyokuwa mnadhani afanye ili mmfanyeje, itakula kwenu.Hakuna cha kupumzika, msibadili gia bana, huyo kafungiwa na NEC siku saba kama kweli yeye jeuri aendelee na msimamo wake kufanya kampeni
Mnafunika kombe Lissu apite hahaha yeye kama kweli mwanaume na anajua sheria asimamie maneno yake ya kwamba lazima aendelee na kampeni tuone nani mwamba.
Sio muanzishe uzi za kutaka kuaminisha watu kua Lissu kaamua kuacha kuendelea na kampeni kwa sababu yenu
na ushauri wenu sote tunajua Tundu Lissu amefyata mkia
Unafahamu maana ya neno "APA"?Tunamuongelea mwanasheria apa yeye kama anaweza kuvimba basi aendelee kuvimba tuone
Pole sanaChadema mnaaongoza kwa kujidanganya tena mchana kweupe, nyie lisu anajulikana mtandaoni tu wananzengo hawajui
Bravo. To every cause there is a reason.Pamoja na kuwa atakuwa hayuko majukwaani lkn mazingira ya jinsi NEC ilivyomzuia yanatosha kumpigia kampeni, sasa wananchi na jumuia za kimataifa zimejua kweli Tume haiko huru na inapendelea, vyombo vya habari vya ndani na nje vinaripoti habari yake.
Muda huu apumzishe ubongo na akili na mikiki mikiki ya barabarani, afanye tathimini ya kampeni aliyoifanya, muda huu anaweza kuutumia kwa press conferences, kupitia daftari la mpiga kura, kuandaa mawakala, jinsi ya kuzuia wizi, kuandaa polling center, kutafuta pesa za kampeni, kufuatilia rufaa za wagombea, n.k.
Wapinzani walizuiwa kufanya siasa kwa miaka mitano lakini baada ya kuruhusiwa tumeona walivyobadili upepo kwa muda mfupi. Magufuli amejaza mabango kila kona ya nchi lkn faida yake haina tofauti na yule ambaye hana picha hata moja. Kwa hiyo kama wananchi hawakutaki hata ufanye kampeni peke yako hawatakuchagua.
Lissu afahamu tunatafuta Rais atakaye simamia misingi ya sheria kwa wanaoonewa na wasioonewa, hata kama ameonewa tayari wananchi wameshaona, ajishushe kwa moja ili apate mbili.
Mwisho, Mungu naye ana makusudi yake, hatuwezi kujua ndani ya hizi siku 7 kungetokea nini kibaya juu yake.
Umesahau tissCcm , chadema,NEC,ZEC ,JWTZ,POLISI TANZANIA tunawaomba Sana mtulindie amani ya nchi yetu..
AMANI YA NCHI YETU NI MUHIMU SANA KULIKO SIASA ZENU
Huu ni wakati wenu kupiga poyoyo na kubwabwaja, kwanza lisu anakesi ya kumshtumu rais kwamba ameagiza apigwe guni,tutaleta ripoti ya uchunguzi siku si nyingi ,watanzania hawawezi mchagua mtu wa ajabu kama lisu hatupendi watu wasingiziaji na wasaliti watakao iuza nchi yetuPole sana