selemangrace346
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 463
- 634
Lisu Ana hoja nzuri sana, Naomba mungu jamaa achukue nchi asubuhi asubuhi kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli tupu. Pia anaweza kufanya mambo mengine yatakoyoweza kumpaisha kuliko hata kama angefanya kampeni. Aitumie fursa hii vizuri mpaka hao vibaraka wa CCM wajute ni kwanini walichukuwa hatua hii.
Ww kweli hamnazo kwahiyo kumfungia siku saba kwenu mataga imekuwa sherehe? Vipi lile roli la mkaa linaloenda gereji siku nane unalizungumziaje nayo ile ni adhabu? Mbona haushauri aendelee na kampeni muda huu ambao kufungiwa kwa lissu kwako imekuwa ahueni kupumzika spana.Hakuna cha kupumzika, msibadili gia bana, huyo kafungiwa na NEC siku saba kama kweli yeye jeuri aendelee na msimamo wake kufanya kampeni
Kwa hyo Bora nini tuingie kwenye Vita au tulinde amaani yetu?.
Unadhani Vita ikitokea hayo unayosema yatafanyika Tena?.
Nani atalima mazao wakati wa Vita?
Nani atanunua mazao wakati wa Vita?
hili jambo limekaa kimtego sana,Lisu hawezi kufanya kampeni kwa nguvu kama mnavyo dhani,kuna jambo alitaka lifahamike vema na sasa amefanikiwa kwa kumjaza upepo adui yake ili atapike nyongo, kisha mtapisha tayari dunia inadadavua kuhusu ugojwa uliojianika wenyewe.Hakuna cha kupumzika, msibadili gia bana, huyo kafungiwa na NEC siku saba kama kweli yeye jeuri aendelee na msimamo wake kufanya kampeni
Waislamu wenzangu tunatia aibu sijui ni kwa sababu ya elimu duni darasa la 7 au tumerogwaMnafunika kombe Lissu apite hahaha yeye kama kweli mwanaume na anajua sheria asimamie maneno yake ya kwamba lazima aendelee na kampeni tuone nani mwamba.
Sio muanzishe uzi za kutaka kuaminisha watu kua Lissu kaamua kuacha kuendelea na kampeni kwa sababu yenu
na ushauri wenu sote tunajua Tundu Lissu amefyata mkia
Mkuu hawakujua lengo la Lissu limetimia.hili jambo limekaa kimtego sana,Lisu hawezi kufanya kampeni kwa nguvu kama mnavyo dhani,kuna jambo alitaka lifahamike vema na sasa amefanikiwa kwa kumjaza upepo adui yake ili atapike nyongo, kisha mtapisha tayari dunia inadadavua kuhusu ugojwa uliojianika wenyewe.
wapinzani wametumia miaka mingi kueleza hili jambo kwamba tume ya uchaguzi sio huru,wapo waliokuwa wanaamini wapo ambao hawakuamini jambo hilo ila sasa tume wenyewe wamejianika hakuna hja ya kueleza kwa sasa kila mtu anajua tume ni tatizo.
Waliofyata mkia ni hao walojaa hofu.Mnafunika kombe Lissu apite hahaha yeye kama kweli mwanaume na anajua sheria asimamie maneno yake ya kwamba lazima aendelee na kampeni tuone nani mwamba.
Sio muanzishe uzi za kutaka kuaminisha watu kua Lissu kaamua kuacha kuendelea na kampeni kwa sababu yenu
na ushauri wenu sote tunajua Tundu Lissu amefyata mkia
YaheeMkuu hawakujua lengo la Lissu limetimia.
Natumai trh 10 jmosi breki ya kwanza ni Mtwara tuombe Mungu.Yahee
Bado sana sisi Kusini korosho bado hakijaeleweka
Tunataka lissu aje
Lindi wahanga wa mafuriko lissu tunakusuburi
Kibiti, ikwiriri ndugu zetu wameuwawa wingi
Tanga tunakusubiri utupe hatma ya masheikh wetu
Takbirr
Allah Akbar
Ewe Mola wa haki tunakuomba umlinde huyu kiongozi wetu muadilifu dhidi ya yule katili Pombe
Ewe Mola wa maajabu onyesha maajabu safari hii lissu ashinde dhidi ya yule katili Pombe
Very very true, kila jambo lina sababu. Aangalie alikotoka, kafanyiwa mangapi na bado anavuta maelfu ya watu wakina na imani naye kuibadilisha Tanzania.Pamoja na kuwa atakuwa hayuko majukwaani lkn mazingira ya jinsi NEC ilivyomzuia yanatosha kumpigia kampeni, sasa wananchi na jumuia za kimataifa zimejua kweli Tume haiko huru na inapendelea, vyombo vya habari vya ndani na nje vinaripoti habari yake.
Muda huu apumzishe ubongo na akili na mikiki mikiki ya barabarani, afanye tathimini ya kampeni aliyoifanya, muda huu anaweza kuutumia kwa press conferences, kupitia daftari la mpiga kura, kuandaa mawakala, jinsi ya kuzuia wizi, kuandaa polling center, kutafuta pesa za kampeni, kufuatilia rufaa za wagombea, n.k.
Wapinzani walizuiwa kufanya siasa kwa miaka mitano lakini baada ya kuruhusiwa tumeona walivyobadili upepo kwa muda mfupi. Magufuli amejaza mabango kila kona ya nchi lkn faida yake haina tofauti na yule ambaye hana picha hata moja. Kwa hiyo kama wananchi hawakutaki hata ufanye kampeni peke yako hawatakuchagua.
Lissu afahamu tunatafuta Rais atakaye simamia misingi ya sheria kwa wanaoonewa na wasioonewa, hata kama ameonewa tayari wananchi wameshaona, ajishushe kwa moja ili apate mbili.
Mwisho, Mungu naye ana makusudi yake, hatuwezi kujua ndani ya hizi siku 7 kungetokea nini kibaya juu yake.
Lissu kapata muda wa kuandaa nondo zaidi, muda wa kuskiza matusi ya mpinzani wake, muda wa kuka mbele za Mungu na kuomba ulinzi na mud wa kuwasiliana na mawakili wake wa kimataifa akina Robrt amsterdamPamoja na kuwa atakuwa hayuko majukwaani lkn mazingira ya jinsi NEC ilivyomzuia yanatosha kumpigia kampeni, sasa wananchi na jumuia za kimataifa zimejua kweli Tume haiko huru na inapendelea, vyombo vya habari vya ndani na nje vinaripoti habari yake.
Muda huu apumzishe ubongo na akili na mikiki mikiki ya barabarani, afanye tathimini ya kampeni aliyoifanya, muda huu anaweza kuutumia kwa press conferences, kupitia daftari la mpiga kura, kuandaa mawakala, jinsi ya kuzuia wizi, kuandaa polling center, kutafuta pesa za kampeni, kufuatilia rufaa za wagombea, n.k.
Wapinzani walizuiwa kufanya siasa kwa miaka mitano lakini baada ya kuruhusiwa tumeona walivyobadili upepo kwa muda mfupi. Magufuli amejaza mabango kila kona ya nchi lkn faida yake haina tofauti na yule ambaye hana picha hata moja. Kwa hiyo kama wananchi hawakutaki hata ufanye kampeni peke yako hawatakuchagua.
Lissu afahamu tunatafuta Rais atakaye simamia misingi ya sheria kwa wanaoonewa na wasioonewa, hata kama ameonewa tayari wananchi wameshaona, ajishushe kwa moja ili apate mbili.
Mwisho, Mungu naye ana makusudi yake, hatuwezi kujua ndani ya hizi siku 7 kungetokea nini kibaya juu yake.
Sahihi kabisa mkuu....Kwani wale wanaokwenda kwenye mikutano huwa inafanyikia hapa mtandaoni. Hadi mbogamboga wanafunga shule ili kubalanzi nyomi ya Lissu kwenye mikutano yao halafu useme anapendwa mitandaoni. Sasa huyo ambaye hawezi kufanya mkutano hadi aende kwenye shoo za wasanii ndiye anakubalika wapi maana mitandaoni hayupo kitaa hayupo.
Pamoja na kuwa atakuwa hayuko majukwaani lkn mazingira ya jinsi NEC ilivyomzuia yanatosha kumpigia kampeni, sasa wananchi na jumuia za kimataifa zimejua kweli Tume haiko huru na inapendelea, vyombo vya habari vya ndani na nje vinaripoti habari yake.
Muda huu apumzishe ubongo na akili na mikiki mikiki ya barabarani, afanye tathimini ya kampeni aliyoifanya, muda huu anaweza kuutumia kwa press conferences, kupitia daftari la mpiga kura, kuandaa mawakala, jinsi ya kuzuia wizi, kuandaa polling center, kutafuta pesa za kampeni, kufuatilia rufaa za wagombea, n.k.
Wapinzani walizuiwa kufanya siasa kwa miaka mitano lakini baada ya kuruhusiwa tumeona walivyobadili upepo kwa muda mfupi. Magufuli amejaza mabango kila kona ya nchi lkn faida yake haina tofauti na yule ambaye hana picha hata moja. Kwa hiyo kama wananchi hawakutaki hata ufanye kampeni peke yako hawatakuchagua.
Lissu afahamu tunatafuta Rais atakaye simamia misingi ya sheria kwa wanaoonewa na wasioonewa, hata kama ameonewa tayari wananchi wameshaona, ajishushe kwa moja ili apate mbili.
Mwisho, Mungu naye ana makusudi yake, hatuwezi kujua ndani ya hizi siku 7 kungetokea nini kibaya juu yake.
Hujaniconvice lkn Wacha tuonePamoja na kuwa atakuwa hayuko majukwaani lkn mazingira ya jinsi NEC ilivyomzuia yanatosha kumpigia kampeni, sasa wananchi na jumuia za kimataifa zimejua kweli Tume haiko huru na inapendelea, vyombo vya habari vya ndani na nje vinaripoti habari yake.
Muda huu apumzishe ubongo na akili na mikiki mikiki ya barabarani, afanye tathimini ya kampeni aliyoifanya, muda huu anaweza kuutumia kwa press conferences, kupitia daftari la mpiga kura, kuandaa mawakala, jinsi ya kuzuia wizi, kuandaa polling center, kutafuta pesa za kampeni, kufuatilia rufaa za wagombea, n.k.
Wapinzani walizuiwa kufanya siasa kwa miaka mitano lakini baada ya kuruhusiwa tumeona walivyobadili upepo kwa muda mfupi. Magufuli amejaza mabango kila kona ya nchi lkn faida yake haina tofauti na yule ambaye hana picha hata moja. Kwa hiyo kama wananchi hawakutaki hata ufanye kampeni peke yako hawatakuchagua.
Lissu afahamu tunatafuta Rais atakaye simamia misingi ya sheria kwa wanaoonewa na wasioonewa, hata kama ameonewa tayari wananchi wameshaona, ajishushe kwa moja ili apate mbili.
Mwisho, Mungu naye ana makusudi yake, hatuwezi kujua ndani ya hizi siku 7 kungetokea nini kibaya juu yake.
Nachukia hilo jina KAMANDA😡Naunga mkono Kamanda. Pumzika siku 7.
You nailed it!!!!Kwa kweli umeongea kama nilivyokuwa nawaza na nilivyoandika sehemu mbalimbali.Atulie,atafakariPamoja na kuwa atakuwa hayuko majukwaani lkn mazingira ya jinsi NEC ilivyomzuia yanatosha kumpigia kampeni, sasa wananchi na jumuia za kimataifa zimejua kweli Tume haiko huru na inapendelea, vyombo vya habari vya ndani na nje vinaripoti habari yake.