Uchaguzi 2020 Kufungiwa Lissu kwa siku 7 ni ‘advantage’ kubwa sana kwake

Kweli tupu. Pia anaweza kufanya mambo mengine yatakoyoweza kumpaisha kuliko hata kama angefanya kampeni. Aitumie fursa hii vizuri mpaka hao vibaraka wa CCM wajute ni kwanini walichukuwa hatua hii.
 
Hakuna cha kupumzika, msibadili gia bana, huyo kafungiwa na NEC siku saba kama kweli yeye jeuri aendelee na msimamo wake kufanya kampeni
Ww kweli hamnazo kwahiyo kumfungia siku saba kwenu mataga imekuwa sherehe? Vipi lile roli la mkaa linaloenda gereji siku nane unalizungumziaje nayo ile ni adhabu? Mbona haushauri aendelee na kampeni muda huu ambao kufungiwa kwa lissu kwako imekuwa ahueni kupumzika spana.

Msichojua mataga wengi ni kuwa utawala huu wengi wamechoka kwahiyo kuna mambo wanafanya makusudi ili kumtangaza kwa makusudi lissu ebu pitia ule wito wa sirro kwenda kuripoti kilimanjaro na ile barua ya wambura ya kuripoti Kanda maalum baada ya lissu kuwapa somo la sheria mambosasa akasitisha ule wito kwenye scenario kama nani ni winner?
Tumia kichwa kutafakari usitumie kichwa kama sanduku la kubebea meno. Hapa mleta Mada ametoa ushauri nini cha kufanya kwa mgombea wetu kwa muda huu na bado kamati hawajatoa tamko kwamba aendelee au asimame kwa muda huu wa siku saba. Ila yy msimamo wake upo kama kwenye wito wa sirro, Mahera na wambura ni kuwa ataendelea na kampeni kama kawaida au kauli hujamsikia? Sasa kama sirro mwenye polisi mnaowategemea amesanda hiyo kamati ya send off itafanya nn. Poleni mataga endeleeni kuvumilia spana za mana hamna namna. Tumieni muda huu kumuombea mgonjwa wenu.
 
Huo ni ushauri wenye manufaa sana kwa mh: T.Lissu, kwani huko ni sawa na kumpiga teke chura! Naye apumzike ili afanye tathmini pia, wakati bwana mkubwa akiwa gereji.
 
Kwa hyo Bora nini tuingie kwenye Vita au tulinde amaani yetu?.
Unadhani Vita ikitokea hayo unayosema yatafanyika Tena?.
Nani atalima mazao wakati wa Vita?
Nani atanunua mazao wakati wa Vita?

Huo udikteta unaoupalilia ndiyo utakao angamiza hili taifa hivi inawezekanaje mhombea asimame kwenye jukwaa na kuwaapia wapiga kura kwamba wasipochagua wagombea wa chama chake hawatapata maji na huku anafahamu kuwa Tanzania ni nchi ya kidemokrasia. Huko siyo kutaka kutumbukiza nchi kwenye machafuko, uchukuwe kodi za watu ukatae kuleta maji sababu wametumia uhuru wao kumchagua mtu wanayempenda. Madikteta wengi wametumbukiza nchi zao kwenye mauwaji makubwa na ndicho kinachopaliliwa hapa kwetu tayari vyombo vya habari vimeshaufyata, kwa kumuhofia mtu mmoja tu ambaye sasa anaogopwa kuliko Mungu.
 
Hakuna cha kupumzika, msibadili gia bana, huyo kafungiwa na NEC siku saba kama kweli yeye jeuri aendelee na msimamo wake kufanya kampeni
hili jambo limekaa kimtego sana,Lisu hawezi kufanya kampeni kwa nguvu kama mnavyo dhani,kuna jambo alitaka lifahamike vema na sasa amefanikiwa kwa kumjaza upepo adui yake ili atapike nyongo, kisha mtapisha tayari dunia inadadavua kuhusu ugojwa uliojianika wenyewe.
wapinzani wametumia miaka mingi kueleza hili jambo kwamba tume ya uchaguzi sio huru,wapo waliokuwa wanaamini wapo ambao hawakuamini jambo hilo ila sasa tume wenyewe wamejianika hakuna hja ya kueleza kwa sasa kila mtu anajua tume ni tatizo.
 
Mnafunika kombe Lissu apite hahaha yeye kama kweli mwanaume na anajua sheria asimamie maneno yake ya kwamba lazima aendelee na kampeni tuone nani mwamba.

Sio muanzishe uzi za kutaka kuaminisha watu kua Lissu kaamua kuacha kuendelea na kampeni kwa sababu yenu
na ushauri wenu sote tunajua Tundu Lissu amefyata mkia
Waislamu wenzangu tunatia aibu sijui ni kwa sababu ya elimu duni darasa la 7 au tumerogwa
Tunaongea pumba tupu mtandaoni
 
hili jambo limekaa kimtego sana,Lisu hawezi kufanya kampeni kwa nguvu kama mnavyo dhani,kuna jambo alitaka lifahamike vema na sasa amefanikiwa kwa kumjaza upepo adui yake ili atapike nyongo, kisha mtapisha tayari dunia inadadavua kuhusu ugojwa uliojianika wenyewe.
wapinzani wametumia miaka mingi kueleza hili jambo kwamba tume ya uchaguzi sio huru,wapo waliokuwa wanaamini wapo ambao hawakuamini jambo hilo ila sasa tume wenyewe wamejianika hakuna hja ya kueleza kwa sasa kila mtu anajua tume ni tatizo.
Mkuu hawakujua lengo la Lissu limetimia.
 
Mnafunika kombe Lissu apite hahaha yeye kama kweli mwanaume na anajua sheria asimamie maneno yake ya kwamba lazima aendelee na kampeni tuone nani mwamba.

Sio muanzishe uzi za kutaka kuaminisha watu kua Lissu kaamua kuacha kuendelea na kampeni kwa sababu yenu
na ushauri wenu sote tunajua Tundu Lissu amefyata mkia
Waliofyata mkia ni hao walojaa hofu.
Lisu kamburuza jiwe aliyefanya kampeni kwa miaka mitano hadi kaomba poo asaidiwe na tume + msajili + policcm.
Lisu kweli babalao na October 28 kura zote kwake.
Jiwe alidhani kuteka, kutisha, kuzuia mikitano halali na kubambika kesi wapinzani kungemsaidia na sasa watz waliozoea kuishi kwa amani na Uhuru katika nchi yao wamemkataa kweupe.
Na safari hii ushindi wa Lisu unaanzia hapa Geita.
 
Mkuu hawakujua lengo la Lissu limetimia.
Yahee
Bado sana sisi Kusini korosho bado hakijaeleweka
Tunataka lissu aje
Lindi wahanga wa mafuriko lissu tunakusuburi
Kibiti, ikwiriri ndugu zetu wameuwawa wingi
Tanga tunakusubiri utupe hatma ya masheikh wetu
Takbirr
Allah Akbar
Ewe Mola wa haki tunakuomba umlinde huyu kiongozi wetu muadilifu dhidi ya yule katili Pombe
Ewe Mola wa maajabu onyesha maajabu safari hii lissu ashinde dhidi ya yule katili Pombe
 
Natumai trh 10 jmosi breki ya kwanza ni Mtwara tuombe Mungu.
 
Pamoja na kuwa atakuwa hayuko majukwaani lkn mazingira ya jinsi NEC ilivyomzuia yanatosha kumpigia kampeni, sasa wananchi na jumuia za kimataifa zimejua kweli Tume haiko huru na inapendelea, vyombo vya habari vya ndani na nje vinaripoti habari yake.

Muda huu apumzishe ubongo na akili na mikiki mikiki ya barabarani, afanye tathimini ya kampeni aliyoifanya, muda huu anaweza kuutumia kwa press conferences, kupitia daftari la mpiga kura, kuandaa mawakala, jinsi ya kuzuia wizi, kuandaa polling center, kutafuta pesa za kampeni, kufuatilia rufaa za wagombea, n.k.

Wapinzani walizuiwa kufanya siasa kwa miaka mitano lakini baada ya kuruhusiwa tumeona walivyobadili upepo kwa muda mfupi. Magufuli amejaza mabango kila kona ya nchi lkn faida yake haina tofauti na yule ambaye hana picha hata moja. Kwa hiyo kama wananchi hawakutaki hata ufanye kampeni peke yako hawatakuchagua.

Lissu afahamu tunatafuta Rais atakaye simamia misingi ya sheria kwa wanaoonewa na wasioonewa, hata kama ameonewa tayari wananchi wameshaona, ajishushe kwa moja ili apate mbili.

Mwisho, Mungu naye ana makusudi yake, hatuwezi kujua ndani ya hizi siku 7 kungetokea nini kibaya juu yake.
Very very true, kila jambo lina sababu. Aangalie alikotoka, kafanyiwa mangapi na bado anavuta maelfu ya watu wakina na imani naye kuibadilisha Tanzania.

Yote yanayotokea ni mpango wa Mungu, Mungu anaweza akawa amewapa kiburi ili awaangushe baadaye. Watu wanaona na watafanya maamuzi ya siri kwenye kichumba cha kura. Hata wale wa nguo za kijani nao wanafuata mkumbo tu kwenye mikutano yao lakini moyoni wanafahamu ni kwa jinsi gani wameumizwa au jamaa na ndugu zao wameumizwa hivyo nao tarehe 28 October watafanya maamuzi sahihi.

Hivyo ni vizuri awaache na adhabu yao ya uwongo, watashangaa atakaporudi kishindo chake kitakuwa mara mbili.
 
Pamoja na kuwa atakuwa hayuko majukwaani lkn mazingira ya jinsi NEC ilivyomzuia yanatosha kumpigia kampeni, sasa wananchi na jumuia za kimataifa zimejua kweli Tume haiko huru na inapendelea, vyombo vya habari vya ndani na nje vinaripoti habari yake.

Muda huu apumzishe ubongo na akili na mikiki mikiki ya barabarani, afanye tathimini ya kampeni aliyoifanya, muda huu anaweza kuutumia kwa press conferences, kupitia daftari la mpiga kura, kuandaa mawakala, jinsi ya kuzuia wizi, kuandaa polling center, kutafuta pesa za kampeni, kufuatilia rufaa za wagombea, n.k.

Wapinzani walizuiwa kufanya siasa kwa miaka mitano lakini baada ya kuruhusiwa tumeona walivyobadili upepo kwa muda mfupi. Magufuli amejaza mabango kila kona ya nchi lkn faida yake haina tofauti na yule ambaye hana picha hata moja. Kwa hiyo kama wananchi hawakutaki hata ufanye kampeni peke yako hawatakuchagua.

Lissu afahamu tunatafuta Rais atakaye simamia misingi ya sheria kwa wanaoonewa na wasioonewa, hata kama ameonewa tayari wananchi wameshaona, ajishushe kwa moja ili apate mbili.

Mwisho, Mungu naye ana makusudi yake, hatuwezi kujua ndani ya hizi siku 7 kungetokea nini kibaya juu yake.
Lissu kapata muda wa kuandaa nondo zaidi, muda wa kuskiza matusi ya mpinzani wake, muda wa kuka mbele za Mungu na kuomba ulinzi na mud wa kuwasiliana na mawakili wake wa kimataifa akina Robrt amsterdam
 
Ningekuwa mimi kummaliza kisiasa ni dakika tatu tu
 
Kwani wale wanaokwenda kwenye mikutano huwa inafanyikia hapa mtandaoni. Hadi mbogamboga wanafunga shule ili kubalanzi nyomi ya Lissu kwenye mikutano yao halafu useme anapendwa mitandaoni. Sasa huyo ambaye hawezi kufanya mkutano hadi aende kwenye shoo za wasanii ndiye anakubalika wapi maana mitandaoni hayupo kitaa hayupo.
Sahihi kabisa mkuu....

Kampeni za LISU hazihitaji sapoti ya wasanii kwasababu yeye Mwenyewe anakubalika na Bado anakuwa na raia wengi sana..
Tofaut na JPM sapoti kubwa anaipata kutokana na wasanii anaoenda nao kwenye kampeni na hao ndo wanaojaza watu.

mfano Bukoba ametisha sana Lisu mwanza pia watu wamefurika Mi mwenyewe shuhuda.hii tafsiri yake Ni kwamba majority Inamuelewa Lisu kuliko Maguful
...
.Pamoja na yote Fainali Ni kwenye Matangazo ya Nani Ni Nani Apo Ni Vumbi tu.
 
Ni kweli...
Hata akikosa uraisi 2020 atakuwa anejijengea heshima ya kutosha kuwa mwenyekiti wa chadema ...

Viva Magu 2020 to 2030
Pamoja na kuwa atakuwa hayuko majukwaani lkn mazingira ya jinsi NEC ilivyomzuia yanatosha kumpigia kampeni, sasa wananchi na jumuia za kimataifa zimejua kweli Tume haiko huru na inapendelea, vyombo vya habari vya ndani na nje vinaripoti habari yake.

Muda huu apumzishe ubongo na akili na mikiki mikiki ya barabarani, afanye tathimini ya kampeni aliyoifanya, muda huu anaweza kuutumia kwa press conferences, kupitia daftari la mpiga kura, kuandaa mawakala, jinsi ya kuzuia wizi, kuandaa polling center, kutafuta pesa za kampeni, kufuatilia rufaa za wagombea, n.k.

Wapinzani walizuiwa kufanya siasa kwa miaka mitano lakini baada ya kuruhusiwa tumeona walivyobadili upepo kwa muda mfupi. Magufuli amejaza mabango kila kona ya nchi lkn faida yake haina tofauti na yule ambaye hana picha hata moja. Kwa hiyo kama wananchi hawakutaki hata ufanye kampeni peke yako hawatakuchagua.

Lissu afahamu tunatafuta Rais atakaye simamia misingi ya sheria kwa wanaoonewa na wasioonewa, hata kama ameonewa tayari wananchi wameshaona, ajishushe kwa moja ili apate mbili.

Mwisho, Mungu naye ana makusudi yake, hatuwezi kujua ndani ya hizi siku 7 kungetokea nini kibaya juu yake.
 
Pamoja na kuwa atakuwa hayuko majukwaani lkn mazingira ya jinsi NEC ilivyomzuia yanatosha kumpigia kampeni, sasa wananchi na jumuia za kimataifa zimejua kweli Tume haiko huru na inapendelea, vyombo vya habari vya ndani na nje vinaripoti habari yake.

Muda huu apumzishe ubongo na akili na mikiki mikiki ya barabarani, afanye tathimini ya kampeni aliyoifanya, muda huu anaweza kuutumia kwa press conferences, kupitia daftari la mpiga kura, kuandaa mawakala, jinsi ya kuzuia wizi, kuandaa polling center, kutafuta pesa za kampeni, kufuatilia rufaa za wagombea, n.k.

Wapinzani walizuiwa kufanya siasa kwa miaka mitano lakini baada ya kuruhusiwa tumeona walivyobadili upepo kwa muda mfupi. Magufuli amejaza mabango kila kona ya nchi lkn faida yake haina tofauti na yule ambaye hana picha hata moja. Kwa hiyo kama wananchi hawakutaki hata ufanye kampeni peke yako hawatakuchagua.

Lissu afahamu tunatafuta Rais atakaye simamia misingi ya sheria kwa wanaoonewa na wasioonewa, hata kama ameonewa tayari wananchi wameshaona, ajishushe kwa moja ili apate mbili.

Mwisho, Mungu naye ana makusudi yake, hatuwezi kujua ndani ya hizi siku 7 kungetokea nini kibaya juu yake.
Hujaniconvice lkn Wacha tuone
 
Kuna wakati Hayati Mwalimu Nyerere alisema.
Mtu wa kawaida akimpiga mke wake si habari muhimu (not worth writing).
Lakini RAIS wa Inchi akimpiga mke wake ni habari (it is worth writing).
Viongozi wa juu wa Inchi kumsakama Lissu ni kumpa umaarufu Tanzania na Dunia kwa Ujumla (it worth writing)
Wanainchi wanapojitokeza kwa Wingi kwenye mikutano yake si kwamba wanampenda sana ila wanataka kumwona huyo mtu aliyepigwa risasi 16.
Na kama watampa kura si kuwa ni bora kuliko Mpinzani wake mkuu ila ni kumwonea huruma (sympathy ).
Tayari BBC na Voice of America wamehoji jambo la Lissu kuadhibiwa na tume y uchaguzi.
Hii inaendelea kumpa umaarufu Duniani.
Mabebere mara nyingi hutafuta upenyo ili kuharibu amani ya Inchi na kuwafanya watu waingie kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe na kuiingiza Inchi katika madeni makubwa kama ilivyotokea huko Libya.
Miundu mbinu na majengo yatageuka kuwa magofu kwa sababu ya vita, Watu wengi watapoteza maisha.
Tusitoe mwanya kwa Mtaifa ya nje kupandikiza chuki na kuvunja amani yetu.
Tumwache Tundu Lissu afanye kampeini zake ili mradi havunji Sheria za Inchi kwa kufanya makosa ya Jinai.
Mwalimu Nyerere, kipindi kile cha uchaguzi wa mwaka 1995, wakati Mrema anapigwa mabovu na kubebwa na washabiki wake kwa maandamano, alisema. "mtu akitaka kubebwa kama jeneza, mwacheni abebwe"
Baada ya maneno haya ya Mwalimu, Mrema hakubebwa tena na mvuto wake kwa wanainchi ukaisha na hata maandamano hayakuepo tena.
Pole Pole akiwa kwenye mikutano ya ndani anamwita mgombea moja maarufu aliyepigwa risasi ni Kichaa.
Kumwita mtu ni kichaa ni kosa la jinai na ni uchochezi na anaweza kudai fidia kubwa kwa sababu jamii itakuwa haimuamini tena na ataathirika kiuchumi.
 
Pamoja na kuwa atakuwa hayuko majukwaani lkn mazingira ya jinsi NEC ilivyomzuia yanatosha kumpigia kampeni, sasa wananchi na jumuia za kimataifa zimejua kweli Tume haiko huru na inapendelea, vyombo vya habari vya ndani na nje vinaripoti habari yake.

Muda huu apumzishe ubongo na akili na mikiki mikiki ya barabarani, afanye tathimini ya kampeni aliyoifanya, muda huu anaweza kuutumia kwa press conferences, kupitia daftari la mpiga kura, kuandaa mawakala, jinsi ya kuzuia wizi, kuandaa polling center, kutafuta pesa za kampeni, kufuatilia rufaa za wagombea, n.k.

Wapinzani walizuiwa kufanya siasa kwa miaka mitano lakini baada ya kuruhusiwa tumeona walivyobadili upepo kwa muda mfupi. Magufuli amejaza mabango kila kona ya nchi lkn faida yake haina tofauti na yule ambaye hana picha hata moja. Kwa hiyo kama wananchi hawakutaki hata ufanye kampeni peke yako hawatakuchagua.

Lissu afahamu tunatafuta Rais atakaye simamia misingi ya sheria kwa wanaoonewa na wasioonewa, hata kama ameonewa tayari wananchi wameshaona, ajishushe kwa moja ili apate mbili.

Mwisho, Mungu naye ana makusudi yake, hatuwezi kujua ndani ya hizi siku 7 kungetokea nini kibaya juu yake.
You nailed it!!!!Kwa kweli umeongea kama nilivyokuwa nawaza na nilivyoandika sehemu mbalimbali.Atulie,atafakari
 
Back
Top Bottom