Uchaguzi 2020 Kufungiwa Lissu kwa siku 7 ni ‘advantage’ kubwa sana kwake

You nailed it!!!!Kwa kweli umeongea kama nilivyokuwa nawaza na nilivyoandika sehemu mbalimbali.Atulie,atafakari
Unajua kwa sasa CCM imejawa hofu ya kushindwa uchaguzi imefura imekwama inatafuta kila sababu ili na Lissu akwame.
 
Kushindwa CCM sio kama ni jambo feasible kwa sasa lakini wakati mwingine "Wasiwasi ndio akili"
 
Namba saba ni namba ya ukamilifu katika ulimwengu wa roho, yeye atulie apange mikakati, hizo siku saba wazitumie kiroho zaidi hasa maombi ya siku saba, chama kijigawe makundi Saba ya kuomba kura kwa njia watazaona wao, wazee wao, wabunge, madiwani, wamama, vijana, wababa, na viongozi katika hizo siku saba na Mungu atawashindia.
 
Pamoja na kuwa atakuwa hayuko majukwaani lkn mazingira ya jinsi NEC ilivyomzuia yanatosha kumpigia kampeni, sasa wananchi na jumuia za kimataifa zimejua kweli Tume haiko huru na inapendelea, vyombo vya habari vya ndani na nje vinaripoti habari yake.

Muda huu apumzishe ubongo na akili na mikiki mikiki ya barabarani, afanye tathimini ya kampeni aliyoifanya, muda huu anaweza kuutumia kwa press conferences, kupitia daftari la mpiga kura, kuandaa mawakala, jinsi ya kuzuia wizi, kuandaa polling center, kutafuta pesa za kampeni, kufuatilia rufaa za wagombea, n.k.

Wapinzani walizuiwa kufanya siasa kwa miaka mitano lakini baada ya kuruhusiwa tumeona walivyobadili upepo kwa muda mfupi. Magufuli amejaza mabango kila kona ya nchi lkn faida yake haina tofauti na yule ambaye hana picha hata moja. Kwa hiyo kama wananchi hawakutaki hata ufanye kampeni peke yako hawatakuchagua.

Lissu afahamu tunatafuta Rais atakaye simamia misingi ya sheria kwa wanaoonewa na wasioonewa, hata kama ameonewa tayari wananchi wameshaona, ajishushe kwa moja ili apate mbili.

Mwisho, Mungu naye ana makusudi yake, hatuwezi kujua ndani ya hizi siku 7 kungetokea nini kibaya juu yake.
Ushauri mzuri sana aupokee na kuufanyia kazi aachane na heroics hazimsaidii yeye binafsi wala wananchi wengi wenye matumaini nae. Hizo siku 7 za adhabu akizitumia vizuri na kikamilifu litakuwa pigo kubwa kwa adui zake ambao wanasubiri kwa hamu afanye kosa dogo wammalize kabisa lakini pia kumaliza adhabu kunaweza kumwongezea wapiga kura mara dufu. Halmashauri/Kamati Kuu ya Chama chake imshauri aachane na nia yake ya kuendelea na kampeni mpaka baada ya adhabu wakati huohuo wakiangalia namna ya kutumia muda wa adhabu kwa manufaa ya Mgombea wao. Wapiga kura wanasubiri kwa hamu kuona hatua atakayochukua na kitakachoendelea ili wafanye uamuzi wao wa mwisho maana bado wana imani nae na wanafuatilia na kulaani yaliyompata na yanayompata. To sup with the Devil you need a long spoon!
 
Mnafunika kombe Lissu apite hahaha yeye kama kweli mwanaume na anajua sheria asimamie maneno yake ya kwamba lazima aendelee na kampeni tuone nani mwamba.

Sio muanzishe uzi za kutaka kuaminisha watu kua Lissu kaamua kuacha kuendelea na kampeni kwa sababu yenu
na ushauri wenu sote tunajua Tundu Lissu amefyata mkia
Wakati mwingine mtu hujitathmini akiwa kwenye utulivu na kubadili msimamo wake aidha kwa kubaini uhalisia wa jambo au kwa kusikiliza hoja za washauri wake wa karibu. Hiyo siyo dhambi, ni kuonyesha ukomavu wa kifikra. Daima mwanadamu tangu kuumbwa hajawahi kukamilika bali hukamilishwa na wanaomzunguka na kumtakia mema.
 
Kama ni ushauri kwa kweli tumempa,KAZI KWAKE!!
 
Mnafunika kombe Lissu apite hahaha yeye kama kweli mwanaume na anajua sheria asimamie maneno yake ya kwamba lazima aendelee na kampeni tuone nani mwamba.

Sio muanzishe uzi za kutaka kuaminisha watu kua Lissu kaamua kuacha kuendelea na kampeni kwa sababu yenu
na ushauri wenu sote tunajua Tundu Lissu amefyata mkia
Tatizo ccm hamuamini kinachotokea kwa kuinasibu kufanya mambo mengi Kama kununua ndege na kujenga flyover mlidhani kua lisu hatapata support yeyote kwa wananchi , sasa mambo yaanenda tofauti mmeamua kutumia njia nyingine ya kumnyongonyeza bila ya kujua kumbe ndio mnampa kiki zaidi , mm nilikua sina mpango Wa kupiga kura mwaka huu ,lakini kwa haya yanayoendelea , inabidi tu niende nikampigie kura lisu aisee , maana wengine hua hatupendi uonevu ,
Inabidi tu nimpe faraja lisu kwa kumpigia kura tuu.
 
Wengine wameanza kujinyonga kwa kujua imekula kwao
 
Kweli sio kila biashara inahitaji matangazo, brand bora inajiuza yenyewe..
 
mwaka huu mtaaanzisha thread za kutosha mbna, na isisahaulike kwamba kesi zake znaskilizwa baada ya uchaguzi tu MFULULIZO: hili si la kusahau
 
Kwa hyo lisu ndo amekwambia atakusaidia kwenye hayo matatizo?
Acheni upumbavu kama nafanya kazi ya kulima nikitegemea nitauza mazao kwa wakenya kwa bei Nzuri ili nisomeshe watoto wangu alafu anakuja magufuli anaharibu mahusiano na wakenya kunakosababisha nishindwe kuuza mazao kwa bei Nzuri unataka kusema Magufuli hajaharibu maendeleo yangu?????

CCM mnatumia propaganda za zamani sana ili kuwakatisha tamaa watanzania ila ukweli sasa watanzania tumeujua. Kiongozi wa nchi na Sera zake ana mchango mkubwa sana kwenye maendeleo yetu na ustawi wetu!! Hili tumeliona kwa hakika kipindi hiki cha magufuli hasa sisi wakulima na Ndo mana tunamkataa kwa nguvu zote!!!

Tutamchagua Lissu na kuhakikisha anakuwa Raisi wa JMT. Liwake jua inyeshe mvua
 
Ccm kwa sasa kuondoka madarakani ni ndoto yasaa saba mchana.
Ila isiwe sababu ya kupotea kwa amani ya nchi yetu.
Wakati mwenyekiti wa tume anachaguliwa na rais aliyepo madarakani na ni mwenyekiti wa ccm NYIE MMEKAA KIMYA.
wakati mkurugenzi wa uchaguzi anachaguliwa na rais aliyepo madarakani na mwenyekiti wa ccm NYIE MMEKAA KIMYA.
wakati IGP, CDF,DG n.k wanachaguliwa na rais aliyepo madarakani na mwenyekiti wa ccm NYIE MMEKAA KIMYA.
alafu mnataka mje mshinde Hilo msahau.
Lakini pia isiwe sababu ya kutuvunjia AMANI YETU.
nendeni mahakamani mkadai tume Huru,MAJESHI HURU
Huo udikteta unaoupalilia ndiyo utakao angamiza hili taifa hivi inawezekanaje mhombea asimame kwenye jukwaa na kuwaapia wapiga kura kwamba wasipochagua wagombea wa chama chake hawatapata maji na huku anafahamu kuwa Tanzania ni nchi ya kidemokrasia. Huko siyo kutaka kutumbukiza nchi kwenye machafuko, uchukuwe kodi za watu ukatae kuleta maji sababu wametumia uhuru wao kumchagua mtu wanayempenda. Madikteta wengi wametumbukiza nchi zao kwenye mauwaji makubwa na ndicho kinachopaliliwa hapa kwetu tayari vyombo vya habari vimeshaufyata, kwa kumuhofia mtu mmoja tu ambaye sasa anaogopwa kuliko Mungu.
 
Pamoja na kuwa atakuwa hayuko majukwaani lkn mazingira ya jinsi NEC ilivyomzuia yanatosha kumpigia kampeni, sasa wananchi na jumuia za kimataifa zimejua kweli Tume haiko huru na inapendelea, vyombo vya habari vya ndani na nje vinaripoti habari yake.

Muda huu apumzishe ubongo na akili na mikiki mikiki ya barabarani, afanye tathimini ya kampeni aliyoifanya, muda huu anaweza kuutumia kwa press conferences, kupitia daftari la mpiga kura, kuandaa mawakala, jinsi ya kuzuia wizi, kuandaa polling center, kutafuta pesa za kampeni, kufuatilia rufaa za wagombea, n.k.

Wapinzani walizuiwa kufanya siasa kwa miaka mitano lakini baada ya kuruhusiwa tumeona walivyobadili upepo kwa muda mfupi, nini siku 7. Magufuli amejaza mabango kila kona ya nchi lkn faida yake haina tofauti na yule ambaye hana picha hata moja. Kwa hiyo kama wananchi hawakutaki hata ufanye kampeni peke yako hawatakuchagua.

Lissu afahamu tunatafuta Rais atakaye simamia misingi ya sheria kwa wanaoonewa na wasioonewa, hata kama ameonewa tayari wananchi wameshaona, ajishushe kwa moja ili apate mbili.

Mwisho, Mungu naye ana makusudi yake, hatuwezi kujua ndani ya hizi siku 7 kungetokea nini kibaya walichopanga juu yake.
Wananchi wameichoka ccm wanataka waangalie upande wa pili wa shilingi.

Hali zao ngumu za maisha hawana wa kumlaumu zaidi ya ccm waliong'ang'ania kukaa madarakani miaka yote hiyo.

Inaweza isiwe mwaka huu ila mwisho wa ccm unaonekana
 
Pamoja na kuwa atakuwa hayuko majukwaani lkn mazingira ya jinsi NEC ilivyomzuia yanatosha kumpigia kampeni, sasa wananchi na jumuia za kimataifa zimejua kweli Tume haiko huru na inapendelea, vyombo vya habari vya ndani na nje vinaripoti habari yake.

Muda huu apumzishe ubongo na akili na mikiki mikiki ya barabarani, afanye tathimini ya kampeni aliyoifanya, muda huu anaweza kuutumia kwa press conferences, kupitia daftari la mpiga kura, kuandaa mawakala, jinsi ya kuzuia wizi, kuandaa polling center, kutafuta pesa za kampeni, kufuatilia rufaa za wagombea, n.k.

Wapinzani walizuiwa kufanya siasa kwa miaka mitano lakini baada ya kuruhusiwa tumeona walivyobadili upepo kwa muda mfupi, nini siku 7. Magufuli amejaza mabango kila kona ya nchi lkn faida yake haina tofauti na yule ambaye hana picha hata moja. Kwa hiyo kama wananchi hawakutaki hata ufanye kampeni peke yako hawatakuchagua.

Lissu afahamu tunatafuta Rais atakaye simamia misingi ya sheria kwa wanaoonewa na wasioonewa, hata kama ameonewa tayari wananchi wameshaona, ajishushe kwa moja ili apate mbili.

Mwisho, Mungu naye ana makusudi yake, hatuwezi kujua ndani ya hizi siku 7 kungetokea nini kibaya walichopanga juu yake.
Akili kubwa, madini aina ya vito, big up man
 
Excellent
 
Back
Top Bottom