- Thread starter
- #41
Anatengeneza vipi mazingira, kwani Lissu kajifungia mwenyewe, waambie NEC ndio wanaomtengenezea mazingira.Lisu ana jitutumua Ila hana uwezo wa kupambana na JPM katika sanduku la kura, na anajua anakwenda kushindwa sasa anatengeneza mazingira ionekane ana nyanyaswa Ila haita zuia kuchezea kichapo kwenye sanduku la kura.