Uchaguzi 2020 Kufungiwa Lissu kwa siku 7 ni ‘advantage’ kubwa sana kwake

Nyie si wasemaji was mbeleko za mgombea wenu,mipango muliyoiandaa mnaijua.
 
Nigeria imefanyaje? Belarus imefanyaje? Angalia belarus wale wahuni walioandamana wote wamepewa haki yao

Nyie chadema jaribuni hata kuandamana chumbani kwenu tutawafikia

Utamfikia Nani Wewe. Who Are You?

Wewe Ni A dirty a** hole as the rest of you.
 
Unaandika kitoto sana, wewe bila shaka utakuwa ni teenager. Uwepo wako humu ni kama ajali tu.
 
Stitch in time saves nine.
Mkuu Quinine umeongea hoja ya msingi mno. Katika hili Tundu Lissu ajipe nafasi na kupanga mikakati zaidi, umma wa Watanzania upo pamoja naye. Ni suala la muda tu hata NEC na Jeshi la Polisi nao watatiishwa na kusimama upande wa umma.
 
Ccm , chadema,NEC,ZEC ,JWTZ,POLISI TANZANIA tunawaomba Sana mtulindie amani ya nchi yetu..
AMANI YA NCHI YETU NI MUHIMU SANA KULIKO SIASA ZENU
Mda mwingne ukombozi huitaji umwagaji damu
 
Babayenu magu anapumulia mashine tayari Ile rejeta imetoboka tena hata kupanda helicopter amekatazwa...
Hata hizo siku8 atakazojiuguza bado nafuu hataipata
 
Hakuna cha kupumzika, msibadili gia bana, huyo kafungiwa na NEC siku saba kama kweli yeye jeuri aendelee na msimamo wake kufanya kampeni
Wasemaji wote was mbeleko zenu tutawajua wakati huu.
 
Apumzike
Asiwape sababu ya kumzuia huko mbele
ccm wanashindwa kujua huyu mtu anazijua sheria akirudi kwenye kampeni ndio atawamaliza hiyo itakuwa lala salama
Wakati mwingine ukiwaza sana jiwe anadanganywa sana na wanaomzunguka
Kumsakama Lissu ni kuongeza hasira kwa wananchi wanayo sababu ya kuing'oa sisiem

Hope walio jirani na Mheshimiwa TL watampa ushauri ulio bora
Chama kitangaze Mgombea yupo mapumzikoni
Waandae mikakati ya lala salama huku wakishirikiana na ACT
Njia ni Nyeupe
2020.... ni YEYE
 
Hata katika maisha ukimwangalia MTU anayepitia changamoto nyingi bila kukata tamaa unakuta ndiye ananafasi ya kuzishinda changamoto .. Lissu nae ni kukaza ili vizingiti vimbebe na kwahilo naamini analiweza
 
Hata waliopanga apunzike bado Wana hofu pia,maana hawajui waseme Nini kwa wananchi wajibu hoja za Lisu au wanadi sera zao, Mimi naamini watajilaumu huyu mwamba kupumzika, naunga mkono hoja yako,,
 
Mkuu umewaza mbali na vizuri sana. Naongezea, akishamaliza kifungo hicho cha cku 7 atafute huruma ya wapiga kura kuonyesha alivyoonewa na Nec ili watu waone pamoja na risasi 16 bado anaonewa tu
 
Wafuasi wanatakiwa waondolewe ile notion iliyoanza kujijenga kuwa Tl hagusiki. Ile inatengeneza courage isiyotakiwa kipindi hichi.
 
Kuleta MAENDELEO kwenye jimbo sio kazi ya mbunge?
Kauli huumba, hilo jina ulilojitunga linasadifu kabisa namna ulivyo. Wewe ni mjinga na mpuuzi kweli kweli, wala si masihara.
 
Wanasaccos mnashinda mara mnasema hamkubali mtaendelea na kampeni sasa tena mmebadilika. Kwa taarifa yako Lissu amepewa adhabu na Kamati ya Maadili ambayo wajumbe wake wanatoka kwenye vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi hivyo hata vyama vyenyewe vimechukizwa na tabia yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…