Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Nyie hamuelewi kitu kinaitwa contigency? Au other expenses?Acha mkuu kuna project unataka maji, DAWASA hawataki kuunga mpaka uwahonge ,Tanesco hivyohivyo bahati Mbaya tunapoanza kupanga biashara hatuweki bajeti ya Rushwa!!
Kitu ambacho Balozi amekisahau ni kuwa, mikakati yote yakuidhalimu Afrika ilipangwa EXETER Hall-Ikiwemo ya Kuua, Kubaka, Kubadilisha dini, mila na desturi za Watanzania na mambo mengine mengi tu kuhusu mustakabhali wa Uingereza na makoloni yake kwa kile walichokiita kuchochea maendeleo. Rongo sana.balozi wa Uingereza nchini Tanzania anayemaliza muda wake David Concur anasema wazalishaji wengi wa Tanzania wanashindwa kulihudumia soko la ndani kwa sababu bidhaa za kuagiza ni nafuu zaid
Mzungu kuondoka toka 1961 ,Ukoloni uliobaki ni vichwani mwa wananchi na viongozi waoKitu ambacho Balozi amekisahau ni kuwa, mikakati yote yakuidhalimu Afrika ilipangwa EXETER Hall-Ikiwemo ya Kuua, Kubaka, Kubadilisha dini, mila na desturi za Watanzania na mambo mengine mengi tu kuhusu mustakabhali wa Uingereza na makoloni yake kwa kile walichokiita kuchochea maendeleo. Rongo sana.
EXETER hall ipo Uingereza na ndipo mikutano ya kupanga mikakati mingi ya Ubeberu Duniani ilipofanyika.
Balozi katoka Uingereza. Asituzuge.
===
Marehemu Rais Mkapa alikuwa sawa. Tuachane na mambo ya EPA na Waingereza. Watatunyonya na kuviacha viwanda vyetu kuwa makanisa.
Mungu awalaani wazugaji
Ndiyo rushwa na hatupewi risiti, kihasibu unaaccount vipi?
Mkuu mkimlipa mtu awafanyie usafi huwa anawapa risiti? Au malipo yake sio expense za biashara?Ndiyo rushwa na hatupewi risiti, kihasibu unaaccount vipi?
Watanzania hatuendelei kwa sababu mabilionea wengi utajiri wao unatokana na ruzuku za serikali. Kuanzia Mo Dewji, Bakhressa, Asasi hadi wahindi wa upanga. Huu inatokana na wao kutoa gawio wagawane na watoa Ruzuku.Nimemsikiliza balozi wa Uingereza nchini Tanzania anayemaliza muda wake David Concur anasema wazalishaji wengi wa Tanzania wanashindwa kulihudumia soko la ndani kwa sababu bidhaa za kuagiza ni nafuu zaidi. Hii inasababisha viwanda vichache kufunguliwa na kupelekea upungufu wa ajira.
Mfano mzuri, ni vitenge vinavyozalishwa hapa nchini bei yake ni juu kuliko vinavyoagizwa nje hii inamaanisha gharama za uzalishaji Tanzania ni kubwa kupitiliza.
Ukienda kariakoo, na masoko yote makubwa utagundua bidhaa nyingi zinatengenezwa China. Hata vifaa Kama furniture vinatokea China ilhali mazao ya misitu yanatoka huku Africa.
Tunashindwa nini kuongeza uzalishaji? Sera mbovu!, nini kifanyike tuwajengee uwezo wazawa na wageni kuweka viwanda nchini.
TIC inajitahidi kuhamasisha uwekezaji lakini ni lazma ziwepo jitihada za makusudi kurekebisha Sera zetu. Nchini China, Taiwan, India au Korea uchumi wa viwanda unachangia Sana pato la taifa.
4R HOYEE
Hivi vyote Mbona vinafanyika?Mkuu nimesema wizara iweke sera ya kuvutia viwanda mfano ukiajiri watanzania 5000 haulipi kodi (corporate tax) kwa miaka 2,halafu unachukua kodi zingine PAYE etc
Ajabu viongozi wenye dhamana wanajisifu kuwa mazingira ya uwekezaji ni mazuri.Sijui akili zao zikoje tu.Mfano mwingine kunakiwanda Cha marumaru(tiles)hapo pwani lakini bei zake ni kubwa kuliko zinazotoka china na ulaya ambazo ndiyo imara zaidi kuliko hizo za mkoa wa pwani.mfano mwingine unaagiza gari kutoka ulaya inauzwa milioni kumi lakini ikifika hapa Tanganyika unakadiriwa Kodi inazidi bei ya ununuzi wa gari.kiujumla Tanzania inaongozwa na Wendawazimu
Ni machine zipi zenye kodi nchi hii? Machines kwa asilimia zaidi ya 90 hazing import duty. Nafikiri wengi tunaozungumza mtandaoni hatuna uelewa wa masuala ya uwekezaji mkubwa.Naona Kila mtu ana lalamika, tupendekeze suluhisho..unaposema sera irekibishwe be specific sera ipi
Binafsi naona production cost ni kubwa kuwa sababu ya bei ya umeme, umeme Tanzania ni ghali sana,
Pili, Kodi ziondolewe kwa mashine za kuongeza thamani za bidhaa
Na mwisho Mazingira ya kuagiza mashine za kati pamoja na malighafi uboreshwe, uwe na uwazi na rahisi, kusiwe na monopoly au mtu kati,
Mimi hapo kwenye magari tena haya used sitokuja kuielewa serikali kwa nini inaweka kodi kubwa kiasi kile.Ajabu viongozi wenye dhamana wanajisifu kuwa mazingira ya uwekezaji ni mazuri.Sijui akili zao zikoje tu.Mfano mwingine kunakiwanda Cha marumaru(tiles)hapo pwani lakini bei zake ni kubwa kuliko zinazotoka china na ulaya ambazo ndiyo imara zaidi kuliko hizo za mkoa wa pwani.mfano mwingine unaagiza gari kutoka ulaya inauzwa milioni kumi lakini ikifika hapa Tanganyika unakadiriwa Kodi inazidi bei ya ununuzi wa gari.kiujumla Tanzania inaongozwa na Wendawazimu
Nchi hii kuna tatizo kubwa sana la kodi na tozo. Mpaka ninapoandika hapa, sukari ni bei ya chini hapo Malawi na Zambia ukilinganisha na Tanzania, kodi za kuagiza magari vile vile. Nchi hii kuna utitiri wa kodi na tozo mpaka kero.Ni machine zipi zenye kodi nchi hii? Machines kwa asilimia zaidi ya 90 hazing import duty. Nafikiri wengi tunaozungumza mtandaoni hatuna uelewa wa masuala ya uwekezaji mkubwa.
Mfano, sasa uzalishaji wetu wa tiles ni mkubwa kuliko mahitaji na tunauza nje kwa wingi, Cement halikadhalika tuko vizuri, bidhaa za chuma kwa maana ya mabati na nondo tuko vizuri sana, nk
Watanzania tunatabia ya kujidharau sana kısa kasema mzungu, na hatuna taarifa sahihi kuhusu nchi yeti
Hapo sasa!
Mkuu, asante kwa kuleta hii mada.Nimemsikiliza balozi wa Uingereza nchini Tanzania anayemaliza muda wake David Concur anasema wazalishaji wengi wa Tanzania wanashindwa kulihudumia soko la ndani kwa sababu bidhaa za kuagiza ni nafuu zaidi. Hii inasababisha viwanda vichache kufunguliwa na kupelekea upungufu wa ajira.
Mfano mzuri, ni vitenge vinavyozalishwa hapa nchini bei yake ni juu kuliko vinavyoagizwa nje hii inamaanisha gharama za uzalishaji Tanzania ni kubwa kupitiliza.
Ukienda kariakoo, na masoko yote makubwa utagundua bidhaa nyingi zinatengenezwa China. Hata vifaa Kama furniture vinatokea China ilhali mazao ya misitu yanatoka huku Africa.
Tunashindwa nini kuongeza uzalishaji? Sera mbovu!, nini kifanyike tuwajengee uwezo wazawa na wageni kuweka viwanda nchini.
TIC inajitahidi kuhamasisha uwekezaji lakini ni lazma ziwepo jitihada za makusudi kurekebisha Sera zetu. Nchini China, Taiwan, India au Korea uchumi wa viwanda unachangia Sana pato la taifa.
4R HOYEE
Hiyo Sukari ya Malawi au Zambia yenye bei nafuu imezalishwa kwenye hizo nchi? Jitahidi uwe na taarifa sahihiNchi hii kuna tatizo kubwa sana la kodi na tozo. Mpaka ninapoandika hapa, sukari ni bei ya chini hapo Malawi na Zambia ukilinganisha na Tanzania, kodi za kuagiza magari vile vile. Nchi hii kuna utitiri wa kodi na tozo mpaka kero.
Si suala la kodi tu ,kuna vitu chungu mzima vinahusika kufanya taifa kuwa maridadi katika sekta ya viwanda , misingi ni mibovu ya hii nchi .Hivi vyote Mbona vinafanyika?
Kwa sasa ukiwekeza nchini na ukasajili mradi wako TIC haulipi corporate tax kwa miaka 10. Pata taarifa hiyo Mkuu.