Kufungulia Nchi? Kurudi Kujivunia Umaskini?

Nani ambaye aliinyoosha? Bora Magu amecha uthubutu...wengine wametuachia story!!!. Unajua maendeleo yasipofika vijijini ni kama hakuna maendeleo? Tuendeleze vijiji kwa barabara, maji na umeme. halafu ndio tuanze kulaumiana.
 
Kufungulia nchi kulikomaanishwa ni kuiondoa nchi kutoka kwenye udikteta wa kudhibitiwa na mtu mmoja - kuwapora watu pesa zao, kuwabambikizia watu kesi za uchumi, kuwatesa na kisha kuwalazimisha wakiri makosa na kisha kuwanyan'anya pesa zao
 
Ni vyema kwanza tukajadili tafsiri ya kufungua nchi...nini maana ya kufungua nchi...na kwanini Mama anasema anafungua nchi..
Nchi ilikuwa chini ya itumwa wa shetani. Sasa watu wawe huru kufanya shughuli zao kwa uhuru alimradi hawavunji sheria. Watu wasiwe na hofu ya pesa zao kufungiwa kwenye account za mabenki na kusingiziwa wahujumu uchumi. Kutoka kwenye utawala wa upendeleo na chuki kwa misingi ua eneo mtu atokalo au kabila lake.
 
Wahi hospitali maana huelewi hata watu wanajadili nini. Hizo ndizo dalili za awali za mtu mwenye matatizo ya afya ya akili.
 
Makamanda uchwara wamefutika pamba masikioni. Sidhani kama watakusikiliza.
 
1. Huogopi kuitwa MATAGA?

2. Wewe ni Sukuma Gang!

3. Utaambiwa unamchukia Mama 🤣.

4. Usisahau kuwa huyu Mama hakosolewi! Ukithubutu tu, utaambiwa unamtaka Magufuli ila bahati mbaya harudi tena!
Huyo alikuwa mnufàika wa sukuma Gang,haamimi Kama tuko awamu ya 6,mwachie aitwe Mataga.
Sukuma Gang inapukutika.
 
1. Huogopi kuitwa MATAGA?

2. Wewe ni Sukuma Gang!

3. Utaambiwa unamchukia Mama 🤣.

4. Usisahau kuwa huyu Mama hakosolewi! Ukithubutu tu, utaambiwa unamtaka Magufuli ila bahati mbaya harudi tena!
Duh...seriously nadhani tunaelekea kubaya sana
 
Huyo alikuwa mnufàika wa sukuma Gang,haamimi Kama tuko awamu ya 6,mwachie aitwe Mataga.
Sukuma Gang inapukutika.
Wewe ni mjinga na mpumbavu....Sukuma gang ndiyo kitu gani? Kwanini unawabagua watu wengine? Mshenzi mkubwa wewe...
 
Vikwazo Vya kipuuzi Hatari mno,kwa Mfano........,...( Vitaje Mkuu)
 
JPM ni rais wa kihistoria hatakuja atokee kama yeye miaka hata 60 mbele. The real definition ya uongozi, uwajibikaji na nidhamu kwa mali ya umma.

Baada ya kusema ukweli huu na mimi ni msukuma?
Kwa lipi?

Hivi una habari wakati yeye kajenga reli ambayo ukiunganishwa vipande vyake haiwezi kuvuka hata Dodoma, wenzake hadi wanatoka madarakani waliacha reli kutoka Tanzania hadi Zambia?

Hivi una habari wakati yeye kakarabati shule pale Ihungo wenzake walijenga mashule nchi mzima?

Hivi una habari wakati yeye kajenga mabweni pale UDSM wenzake wamejenga vyuo?

Hivi una habari wakati yeye amenunua ndege zinazolitia hasara taifa, wenzake walianzisha kampuni frpm the scratch na ikawa na ndege ambazo zilikuwa zinapiga route?

Hivi una habari wakati yeye hata kupandisha madaraja alikuwa hataki, wenzake walikuwa wanaajiri na kupandisha mishahara kila mwaka?

Ukweli upi uliosema wakati unaonesha wazi huna lolote unalojua?! Btw, wapi nimesema suala la Wasukuma kusema ukweli au uongo?! Au unajaribu kupinga suala la Gwajima kuwahamasisha Wasukuma watetee urais wa JPM?
 
Akikujibu, ni-tag tafadhali...
 
Kufungua nchi ni kuruhusu wafanyabiashara waliokimbia nchi kwa ubabe wa mwendazake warud nchini tujenge nchi,waliochimbia pesa zao chini warudishe kwenye mzunguko,wanaobambikia wafanya biashy kodi za AJabu AJabu waache Mara moja,mwanzo wa kutoa ajira mpya na kufikiria kuongezea maslahi wafanya kazi na kuleta masoko ya mazao kwa wakulima na wafugaji,huko ndiyo kufungua nchi,tatzo sukuma gang na MATAGA hamtakiii
 
Kama wewe unavyoamini kwa sababu mashirika ya serikali China yamefanikiwa kibiashara sana basi hata hapa Tanzania serikali inaweza kufanya biashara na kufanikiwa.
Kwani nilishakataa kwamba serikali hapa Tanzania haiwezi kufanya biashara na kufanikiwa, au unamaanisha kitu gani?

Mbona huu ndio wimbo ninaoimba kila siku hapa, au umenichanganya na mwingine?

Vinginevyo utakuwa hukuelewa jibu nililoandika hapo uliponi'quote'.
 
Wavuvi wanaovua Bahari ya Hindi...

Jifunze kuandika kwa paragraph, usitake kutuchosha kuangalia sentence imeishia wapi na inaendelea wapi!
 
Tatizo lenu lingine watu dizaini yako, ni ujuaji mwingi bila kujua, kumbe unatumika tu kama malaya muuza nyata barabarani.
Yaani kukuelimisha kwamba andika kwa kutumia paragraph ili usomeke vizuri ndo kujitia ujuaji... una matatizo si kidogo!!
 
Wanaongea kama vile nchi ilikuwa inajitegemea kiuchumi. Wakati kila mwezi TRA wanaiba hela za watu benki. Deni la taifa limekuwa mara ngapi?
Jiwe alikuwa anaiharibu hii nchi, period.
Anadanganya wajinga kwa propaganda za dona kantri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…