Kuhani Musa akutana na kusalimiana Rais Samia Ikulu

Siku hizi manabii walio wengi wamegeuka kuwa machawa wa rais.Kilichotokea kwenye sherehe ya kutimiza miaka 17 ya WRM wengi tulibaki tunashangaa.
Kuna wale wanatoa ushuhuda milioni imeingia mpesa huwa napata shida sana, pesa inaingia from where!!!?
 
Eti kuhani? Bila hata haya, hao ni matapeli wasio hata na aibu.
 
Hawa waganga njaa tu kwanini hawafanyi miujiza
  1. Nchi ikajitambua
  2. Tukaondokana na utegemezi
  3. Wao wakawa donnors badala ya kuwa recepients wa sadaka
  4. Tukaondokana na magonjwa
Haya fanya wewe, anayofanya yeye yanatosha
 
Amani ni upendo bila ugomvi, ni kinyume cha fujo ama vita, watumishi wa Mungu wanaisaidia Serikali katika eneo hilo.
 
Aminaaa ya radi
 
Serikali inaangalia nani ana watu wengi ndo inamuweka karibu.

Wasichojali ni kwamba hata shetani ana watu wengi.

Sijasema Nabii Mussa ana uswahiba na shetani
 
Wewe ni kubwa jinga, jina lake ni Musa? [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…