DOKEZO Kuhani Musa Richard Mwacha ashitakiwe kwa kuwadhalilisha watoto wadogo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hakunaga mlokole mwenye akili timamu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]tupo Bwana mdogo! That is a fallacy of generalization,kila Imani ina watu ambao ni extremist, mbona huko kwenu Kuna wale Boko Haram, alquaida, alshabab, Janjaweed wale wana Akili, kuchijnja watu kisa hawataki kuwa upande wao?
 
Ni shuhuda za uchonganishi na mafarakano na huo sio msingi wa Kikristo. Watu wengi hamjui na mnaulaumu sana Ukristo kwa ajili ya uhuni wa wazi wachache...
Wewe na hao uliowaponda hamna tofauti, kulikua na sababu ya kumalizia comment yako kwa kejeli ya aina hiyo?
 
ni kweli,mfano mlokole akijenga nyumba anaamini kwa imani tu Mungu anamlinda,lakini dini zingine lazima wafukie vitu kujua kuwa kweli kuna ulinzi...
Rubish: kufukia vitu ndo akili sasa? si bora huyo aliyeamini atalindwa na Mungu kuliko huyo mpumbavu anayefikiri kitu amekifukia ardhini kitamlinda
 
Huyo jamaa muhuni kawatengenezea script na anataka wapite mule mule,anazingua sana.
Wanakwenda pale Wagonjwa wanazuiwa kunywa Dawa kisa Eti anawaombea....Wakizidiwa akaona hali mbaya anapeleka pale Hospital ya Boch,Bahati mbaya wakifa wanakuwa hawajulikani wakifuatwa pale kanisani wanakana kutomjua Marehemu.....Upo umuhimu kumtazama huyu jamaa aiza yeye au kuna Watendaji wake hawako sawa....
 
True story,Nilikuwa nimelala usiku,nikiwa usingizini nikawa nawaona vijana wa kiume wawili waliokuwa wamevaa vitambaa vyekundu kama wamejifunga kanga nyekundu wakisema tuile nyama alafu at meantime i was pregnant..nilishtuka kutoka usingizini majasho yakiwa yananitoka.Asubuhi huwezi amini nikaona my period so mimba iliharibika.Mnaweza msiamini but wachawi sasa hivi ni watoto kwa vijana ile zana ya wazee kuwa wachawi ishapitwa na wakati juu ya hao wazee wakifa unadhani watarithishwa kina nani?
Kuhani Musa sio tapeli,kuwa makini sana na unachojitengenezea kichwani mwako ..fanya vyote ila usiingilie kazi ya watumishi wa Mungu cause sio kazi rahisi ambayo kila mtu anaweza ifanya.Ni muda sasa Mungu atawale na uwepo wake udhiirishwe kwenye maisha yetu cause watoto wetu ,familia zetu zinaharibikiwa na yote kwasababu hatuna uwepo wa Mungu ndani yetu.
Wacha kusema Watumishi wa Mungu!
 
Ukiwa na Mimba wale wanao kuzunguka na wewe mwenyewe mnabiidi mswali/msali sana maana mwenye mimba kwa wachawi ni km chui na swala.
 

Huyo jamaa ukimsikiliza vzr hasa shuhuda utajua ni utapeli mtupu,
 
huo ndio ukirisito bila uongo ukirisito haupo bila mziki vilio usiku kucha hakuna ukiristo
 
Swala[emoji23] la kusikia kuwa nilikuwa malikia wa kula nyama Ni kawaida Sana pale kwa Musa na Hakuna utani kwenye Hilo sijui hao watot wanatowaga wapi na wa maeneo gani


Ibada itaanza saa nane na kuisha saaa sita had Saba usku

Nilikua nakwenda pale ila sijawai maliza ibada yake


Bwana yesu kristo atukuzwe

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kwa nini ibada iende mpaka saa tano usiku? Theme ya ibada zake ni kutoa sadaka na kuuza maji na mafuta.
Kanisa linakuwa mali ya wauumini , lakini kanisa lake ni Mali yake huku kila siku ujenzi wake linachangiwa na wauumini
 
Wote mnaoutukana ukristo kwa sababu ya mpumbavu mmoja na nyie ni wapumbavu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…