DOKEZO Kuhani Musa Richard Mwacha ashitakiwe kwa kuwadhalilisha watoto wadogo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Aione Cc mama D ila mimi naona hakuna kosa pale, ila wanachotakiwa kufanya zile shuhuda mara naenda hosp kuuwa watu, nasababisha ajali, niliua waalimu wangu, napandikiza magonjwa kwa watu n.k ziwe offline tena ofisini kwake wamalizane huko. Huku mtaani anataengeneza chuki na watu what if nasikia mfanyakazi mwenzangu anashuhudia eti yeye alikuwa mchawi na kazi yake ni kuua n.k akirudi ofisini japo anasema aliacha kuna namna tutamtenga.
 
wakkkristo mazuzu ,acha wapigwe
 
Kuna watu watasema uongo huo hakuna uchawi,yaani wanataka ukisema uchawi waone kabisa mtu kasimama hapo pembeni yako anaharibu mimba,wasijue kwamba mambo hayo yanafanyika kiroho.
 

Dunia ilishabadilika
 
Je, umelazimishwa kwenda Kuabudu hapo Kwake au Kusikiliza Matangazo ya Ibada yake katika Redio na Runinga?

Acha Upuuzi sawa?
 
Acha kukariri mapokeo wewe ukristo sio mwepesi hivyo kama ulivyokaririshwa.
 
Huyu kuhani au ruhani? Dini zimegeuka takataka ya kila nguruwe kuchakura na kushiba.
 
Viongozi wengi wa dini ni wahuni wa kawaida. Angalia kanisa katoliki baba yao linavyodhalilisha watoto bado ulawiti kwenye madrasat
 


Sandali Ali nataka nikuulize
Umesema watoto wanapangwa kutoa shuhuda
Hivi unafikiri wangekua wanapangwa huyu mtumishi wa Mungu angekua salama mbele ya sheria? Kama unadhani ni hivyo fanya kwenda mwenyewe walau mara3 au 4, tafuta idadi ya kutosha ya hao unaosema wanashuhudia uongo kisha uwasaidie wengine waache kwenda

Mamlaka inayotoa vibali haiongozi imani na mambo ya rohoni. Inachofanya ni kuhakikisha usalama wa watu na sheria zinafuatwa

Kuhani Musa Richard Mwacha amewakamata pabaya wenye zile nguvu za usiku😅😅😅😅
 
Viongozi wengi wa dini ni wahuni wa kawaida. Angalia kanisa katoliki baba yao linavyodhalilisha watoto bado ulawiti kwenye madrasat

Acha kujitafutia laana kwa kutofautisha kanisa na mtendaji wa kanisa
Wapi kanisa katoliki limedhalilisha watoto? Wapi Uislam umelawiti watoto?

Ukiona padri au shehe au mchungaji anafanya haya mambo hajatumwa na kanisa wa Mungu. Huyo ni sawa tuu na baba anayeamua kumlawiti mwanae wa kuzaa
 
Allah anawausia wakiristo katika aya ifuatayo na mm nanukuu
"قُلْ يَا أَهْلَ الْكِتَابِ لَا تَغْلُوا فِي دِينِكُمْ غَيْرَ الْحَقِّ وَلَا تَتَّبِعُوا أَهْوَاءَ قَوْمٍ قَدْ ضَلُّوا مِن قَبْلُ وَأَضَلُّوا كَثِيرًا وَضَلُّوا عَن سَوَاءِ السَّبِيلِ

[ AL - MAIDA - 77 ]
Sema: Enyi Watu wa Kitabu(wakiristo na wayahud)! Msipite kiasi katika dini yenu bila ya haki. Wala msifuate matamanio ya watu walio kwisha potea tangu zamani, na wakawapoteza wengi, na wenyewe wakapotea njia iliyo sawa.
Pia Allah anasema..

إِنَّ الدِّينَ عِندَ اللَّهِ الْإِسْلَامُ ۗ وَمَا اخْتَلَفَ الَّذِينَ أُوتُوا الْكِتَابَ إِلَّا مِن بَعْدِ مَا جَاءَهُمُ الْعِلْمُ بَغْيًا بَيْنَهُمْ ۗ وَمَن يَكْفُرْ بِآيَاتِ اللَّهِ فَإِنَّ اللَّهَ سَرِيعُ الْحِسَابِ

[ AL I'MRAN - 19 ]
Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu(wakiristo na wayahudi) hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu."
karibu katika Uislam dini ya asili ya mwanaadam
 


MWANZO 17:15-21
Mungu akamwambia Ibrahimu, Sarai mkeo, hutamwita jina lake Sarai, kwa kuwa jina lake litakuwa Sara.
Nami nitambariki, na tena nitakupa mwana kwake, naam, nitambariki, naye atakuwa mama wa mataifa, na wafalme wa kabila za watu watatoka kwake.

Ibrahimu akamwambia Mungu, Lau kwamba Ishmaeli angeishi mbele yako.

Mungu akasema, Sivyo, lakini Sara mkeo atakuzalia mwana wa kiume, nawe utamwita jina lake Isaka. Nami nitafanya agano langu imara kwake kuwa agano la milele kwa ajili ya uzao wake baada yake.

Na kwa habari za Ishmaeli nimekusikia, nimembariki, nitamzidisha, nami nitamwongeza sana sana. Atazaa maseyidi kumi na wawili, nami nitamfanya awe taifa kuu.

Bali agano langu nitalifanya imara kwa Isaka, ambaye Sara atakuzalia majira kama haya mwaka ujao.



YAKOBO 1:27
Dini iliyo safi na isiyo na hitilafu mbele ya Mungu Baba ni hii: Kuwasaidia yatima na wajane katika shida zao, na kujilinda mwenyewe usichafuliwe na ulimwengu huu.
 

Asili ni nini,?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…