DOKEZO Kuhani Musa Richard Mwacha ashitakiwe kwa kuwadhalilisha watoto wadogo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Na majira ya usiku katikati ya ibada kinawekwa kipindi cha shuhuda. Ukifuatilia kwa undani utaona ni kama anawapanga watoto wadogo wakajisalimishe kwake yaani wanakwenda kwa Kuhani kukiri kuwa ni wachawi na walikuwa wanakula nyama za watu.
Kwa tunaomfahamu huyu mtu ni muhuni kweli kweli! hana cha dini wala Mungu.
Nikiona wanaokwenda nawaona ni wagonjwa wa akili na wapuuzi wakubwa!
 
ู…ูŽุง ูƒูŽุงู†ูŽ ุฅูุจู’ุฑูŽุงู‡ููŠู…ู ูŠูŽู‡ููˆุฏููŠู‘ู‹ุง ูˆูŽู„ูŽุง ู†ูŽุตู’ุฑูŽุงู†ููŠู‘ู‹ุง ูˆูŽู„ูŽู€ูฐูƒูู† ูƒูŽุงู†ูŽ ุญูŽู†ููŠูู‹ุง ู…ู‘ูุณู’ู„ูู…ู‹ุง ูˆูŽู…ูŽุง ูƒูŽุงู†ูŽ ู…ูู†ูŽ ุงู„ู’ู…ูุดู’ุฑููƒููŠู†ูŽ

[ AL I'MRAN - 67 ]
Ibrahim hakuwa Yahudi wala Mkristo, lakini alikuwa mwongofu Muislamu, wala hakuwa katika washirikina.
 

Umeelewa maana ya kukuwekea hizo verse hapo?

Kwa kifupi
Ishmael na Isaka wote ni watoto wa Ibrahim na wote wana baraka za mwenyezi Mungu katika utofauti wao

Na dini iliyo bora ni matendo mema na kushika amri za mwenyezi Mungu

Hayo mengine yote ni ushirikina wa kiimani
 
Magufuli alizibidi kila aina ya utapeli. Kwanini awamu hii wamelipuka kila kona ya nchi?
 
Ukishakuwa mlokole tayari kunakuwa kuna sehemu ya akili yako umeipoteza.
Mathayo 16:25
"Kwa kuwa mtu atakaye kuiokoa nafsi yake, ataipoteza; na mtu atakayepoteza nafsi yake kwa ajili yangu, ataiona. "

Mathayo 16:26
"Kwani atafaidiwa nini mtu akiupata ulimwengu wote, na kupata hasara ya nafsi yake? Au mtu atatoa nini badala ya nafsi yake?"
 
Dini yangu : Mkristo
Dhehebu : Lutheran kila ijumapili najua ndio Sala masaa kadhaa eh Mungu nisaidie tofauti na hapo sijui dhehebu lingine Asanteni
 
Uzuri ni kuwa na yeye kuhani Musa anajiamini kuwa yuko sahihi tena kwa kutumia biblia hiyo hiyo na yesu huyo huyo kama unavyojiona wewe uko sahihi so Huna cha kumwambia ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ. Habari za Muhammad (SAW) achana nazo kuziingiza kwenye mada hii. We pambana na kuhani ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ na ukitaka vifungu vya biblia vinavyosapoti anayoyafanya atakupa.
 
Ibrahim alikuwa muislamu how?
 
[emoji419]hivi mamlaka kwa nini hazichukui hatua Kwa hawa jamaa..!? inafikirisha sana... uo ukuhani alipewa na nani... zindukeni na hawa matapeli wa kiroho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ