DOKEZO Kuhani Musa Richard Mwacha ashitakiwe kwa kuwadhalilisha watoto wadogo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Majitu makubwa yanaenda kusikiliza shuhuda za kupangwa ni aibu.Et wengine wanajifanya viongozi wa freemason duniani ukimuangalia anayesema hivyo hata mtandao huo hajuwi ulipo na siri zake.Najiuliza watoao ushuhuda iwe watu wazima au watoto wanatoka maeneo jirani au kusikojulikana na wengi?
 
Amina Mtumishi,atukuzwe Yesu wa Ngomeni,Yesu anastahili kutukuzwa sio kusifiwa,by Kuhani Mussa
 
@mama D akija hapa atamtetea kwa nguvu nyingi we subiri
 
Mkuu ulichokiongea ndio ambacho kilikuwa kinastahili kuongelewa hapa? au umeamua tu ulete na wewe comment yako
 
Imagine kuhani Mwacha, Masawe, Mallya, Kimaro, Kimario, Mushi, na koo zote za kichaga. Aisee? Ni kitu ambacho hakipo. Usiniulize kwanini.
 
Naunga mkono hoja, kuna kabwana kalokole nilikipata ilikua shida yani.
Mimi nilikua na msichana wa kazi mlokole, yaani sitaki hata kukumbuka, kuna siku aliniambia eti nabii amewaambia wafunge siku arobaini bila kula wala kunywa kama Yesu alivyofanya, sikutaka kubishana nae, siku ya pili ya mfungo nikamkuta amelala anatetemeka nikamuuliza kulikoni, akaniambia mwili hauna nguvu kichwa kinauma anatetemeka, nikamwitia bajaji nikamwambia nenda kwa nabii ukimaliza mfungo wa siku arobaini utarudi kuendelea na kazi

Huyo binti alikua anasali kwa Nabii Malisa
 
Hivi kwanin Tiss huwa hawaweki maskio yao kanisani?
Na wote tunajua uharibifu unaotokana na imani. Tiba yake ni ngumu sana(collateral damage)
Fikiria ya Zumaridi.
Fikiria walioenda kufly bila chochote airport.
Fikiriaaa! had ya Kibwetere.
 
Kwa nini ibada iende mpaka saa tano usiku? Theme ya ibada zake ni kutoa sadaka na kuuza maji na mafuta.
Kanisa linakuwa mali ya wauumini , lakini kanisa lake ni Mali yake huku kila siku ujenzi wake linachangiwa na wauumini
Kuna siku ibada yake ilikaa hadi saa tisa usiku, nilikua najiuliza maswali sana sema nikaamua kuwaachia mambo yao wenyewe
 

Yan ni shida ukikaa nae ni mahubiri tu mpka jero
 
Au sema tu kama kakufukuzia majini yako. Maana haya mambo wengi mnaogopa kusema ukweli bali mnakuja na visingizio tu
 
Ushauri kwamba mamlaka ziwa-monitor hawa fake prophets kipindi hiki uongozi ukiwa chini ya Muislam hauwezi kutekelezeka maana yeye haimuumizi maana haina madhara kwake.

Hili liko wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…